Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,552
KALOKIRO wameamua kwenda na sisi vita kupitia vyombo vya habari.
Wakati sisi tunazidisha nguvu kwenye mtandao, wao wanafikia watu vijijini kwa magazeti. Pesa walizohujumu wanazitumia kujitangaza na kuiba kura kabla ya uchaguzi!

waacheni waanzishe lakini wakae wakijua .. "waTanzania si mabwege!" - Dr. Harisson Mwakyembe
Watanzania gani hao, mwakyembe hakufafanua, wale wanaowakaribisha mafisadi kwa mbwembwe? wanaomchagua Kikwete kwa asilimia 80.Nadhani Mwakyembe alimaanisha kwa watu waliofunguka macho kama wewe na mimi.LAKINI WATANZANIA WENGI BADO WAKO GIZANI, WE HAVE LONG WAY TO GO.TZ siyo DSM.
wasio mabwege wachache na wana nguvu hao kama JF -menbers say, , VYAMA VINGI VYA UPINZANI VISALITI VITAFAHAMIKA WIKI 2 KABLA YA UCHAGUZI, MAKANISA NA MISIKITI NI HAOHAO. taabu tupu

Wabo,
Kwani DSM si mabwege zaidi hata wakamkaribisha Rostam kuchangia kanisani!
Mtandao wa Rostam, Karamagi na Lowassa umeanzisha magazeti mapya manne: NYUNDO, MTANDAO, UMMA na TAIFA kwa lengo la kuwasafisha mafisadi hao na kumtisha Kikwete aone kuwa Urais wake uko hatarini kuporwa na kundi linalopigana kufa na kupona dhidi ya ufisadi Serikalini. Magazeti hayo mapya manne yanaungana na magazeti yao mengine manne ya RAI, MTANZANIA, TAZAMA na ASUMIN kuendeleza mkakati huo wa kumfanya Lowassa Rais mwaka 2010. Wanaposema 2015 ni geresha tu, danganya toto. Tayari kikao chao cha KALOKIRO kimemteua Lau Masha kugombea Urais ikiwa kazi ya kumsafisha Lowassa itashindikana kufikia mwaka 2010.
Jopo kubwa la wandishi mamluki, likiongozwa na Prince Bagenda,Charles Charles, Deodatus Balile, Mhingo Rweyemamu na Manyere Jackton, linayaendesha magazeti hayo kwa malipo makubwa. Lazaros
waacheni watambe bwana kuna watu wanawasupport. Na nyinyi mkikerwa supportini magazeti yanayowakilisha mawazo yenu. Vinginevyo wanaosupport mafisadi na kazi zao wana namna wanayonufaika. Na wale ambao mko kinyume na ufisadi mna uchaguzi wa kukaa pembeni kulalamika au kuanzisha chombo chenu, au kuunga mkono vyombo vinavyowakilisha mawazo yenu.
Kwa upande wangu, I'll do what I got to do. Sisalimu amri kwa mafisadi, wala kupiga magoti kwa walioiteka nchi yangu. Ijumaa ijayo, I'll go for my response.
mnyisunuraMkuu hebu fafanua hapa umetuacha wengine!
Mkuu,
Nakumbuka maneno ya Nelson Mandela aliposema kwamba kupinga ukandamizaji wa mtu mweupe haimaanishi kukubali ukandamizaji wa mtu mweusi.Let me stick and dwell on this point mpaka kieleweke.
Tunahitaji movement kubwa ya kulikomboa taifa hili ikiwezekana hata kama nitaji-sacrifice maisha yangu ili mradi vizazi vijavyo viishi na kujivunia utaifa wao
Losers!
...njia pekee ya hawa watu kujisafisha ni kujihusisha na shughuli za kijamii, i.e kujenga mashule, zahanati, vituo vya yatima, wasiojiweza na wazee, na miradi ya maji na umeme.
Huenda historia ikaja wahukumu kwa mazuri hayo badala ya kung'ang'ania kwenda Ikulu.
Wakati sisi tunazidisha nguvu kwenye mtandao, wao wanafikia watu vijijini kwa magazeti...