Hivi katika job description yake aliambiwa aendelee upuuzi wa ziara za kisiasa mikoani kama Lowassa?
Wazee nafikiri kwa kuwa ndio kwanza amechukua ofisi, nafikiri ziara ya utambulisho na kutangaza sera zake na mikakati yake ni muhimu japo kwa muda mfupi hivi inaweza kuwa ni mapema mno.
.
Alitakiwa akae ofisini kwanza atleast apate feedback mwenzake aliishia wapi kwenye kazi njema na kazi za richmond. All in all ngoja aende tu apigiwe makofi kidogo ili aweze ku-feel ukubwa wa mamlaka na madaraka aliyonayo.
Wizara aliyotoka inafanya tutarajie kuwa anafahamu vitu vingi sana huko mikoani. NA labda Cheo kipya kwake ni kama karandinga la kufukua maeneo yaliyomshinda akiwa waziri wa kawaida - serikali za mitaa.
Kama anafanya ziara ambazo zitakuwa productive kwa Taifa basi tumtakie safari njema tu, ila kama ni zile ziara za rangi ya kijani na nyeusi basi awe makini sana.
Vipi kuhusu wizara ya tawala za mikoa,Je wizara hii sio ndio hasa inawajibika na mikoa na wilaya zake, Iwapo Ofisi ya Waziri Mkuu nayo inaundwa na mikoa na wilaya zake.. basi ni vema kwa waziri mkuu ambae ana uzoefu mkubwa wa tawala za mikoa kwenda mikoani hadi wilayani katika kutekeleza sehemu ya majukumu yake.Ofisi ya Waziri Mkuu, ni mikoa na wilaya at its core, sasa ni wajibu wake kusafiri mikoani, kujionea mwenyewe, bado siko tayari kuhukumu matendo yake Pinda, lakini kwa sasa nitamhukumu kwa maneno yake.
Hivi katika job description yake aliambiwa aendelee upuuzi wa ziara za kisiasa mikoani kama Lowassa?
Tulilalamika kuwa Lowassa na ofisi yake kazi yao ilikuwa ni kumaliza Tax payers mmoney kutembea mikoani bila sababu yoyote ya msingi
Mbona ofisi ya waziri mkuu haitoi mchanganuo wa hizi ziara?
Zina cost kiasi gani? ujumbe wake huwa ni watu wangapi? na zishaleta matunda yepi?
This is very disappointing to the max
Exactly...na mifano iko mingi tu!!
Huku GA kuna county moja inaitwa Clayton county. Population ni 90% African American....school district sasa hivi iko kwenye verge ya kupoteza accreditation. Budget ya district ni dola millioni 500 kwa mwaka lakini shule hazina vitabu na walimu wa kutosha kuwafundisha wanafunzi 52,000....where does all that money go? Halafu watu walioko kwenye bodi ni wale wale miaka nenda rudi huku kiwango cha elimu kikishuka mwaka baada ya mwaka. Kumbuka hawa watu huwa wanachaguliwa...kwa hiyo hizo nafasi za kwenye bodi ni kama za kisiasa...kama walivyo ma-district attorneys....yaani wee acha tu....mifano iko mingi mno
...hapohapo tuna methali zetu kuwa "mwana wa nyoka ni nyoka", "zimwi likujualo...." (hebu ziweke kwenye context, "mwana wa fisadi ni...." "fisadi akujuaye ....." nk)...
huyu PINDA anakaa wiki nzima kwao ndio kutafuta wachawi wamtengeneze? si alikabidhiwa rozali mburahati kanisani?
Bomu lingine hana kitu.
kweli mwaka wa shetani ni wa shetani tuuuuuuuu !
Waungwana mi naona tumpe muda huyu mheshimiwa maana hajamaliza hata mwezi toka apewe ofisi, na si vibaya kwenda kwao kujitambulisha na kutoa shukrani kwa wanakijiji wenzake.
Lets pray for him lets pray for our country lets pray fo LOWASA, MSABAHA AND KARAMAGI to bring back our money.