Waziri wetu mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda yuko ziarani Rukwa kwa siku saba 'kukagua' shughuli za maendeleo huko na nadhani sana sana ni kuwaona ndugu na jamaa zake baada ya kupata nafasi ya ukulu, ukubwa na uzee aliouachia Lowassa.
Sasa akiwa katika kijiji cha Kakese leo asubuhi amemtetea Edward Lowassa akisema kuwa kosa alilotenda Lowassa ni la kwanza na kwamba Waswahili husema kosa siyo kosa hadi utakapolirejea.
Pinda akizungumzia kashfa ya Richmond alisema Lowassa hapaswi kulaumiwa kwa kuwa yaliyomkuta ni miongoni mwa changamoto za uongozi na kwamba alifanya vyema kujiuzulu baada ya wanaomsaidia kuhusishwa na sakata la kampuni ya mfukoni ya Richmond ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura.
Sasa hiyo picha maana yake nini...unaicheka comment yangu au...?
Nope Nyani!!!!!. Si unajua tena katika hizi issues za black ndivyo tulivyo huwa ninakuunga mkono kwa asilimia 100%. Wanaonivunja mbavu ni hao homo sapiens wenzangu wa huko Clayton county. Pamoja na kuishi US bado wanaendekeza mambo ya uswazi.
Well...nakubali tunaweza kurefine...lakini tatizo ni hili; nchi nyingi zilizopo Afrika kusini mwa jangwa la Sahara matatizo yake yanafana fanana. Uende Cameroon...upitie Guinea Bissau...Ghana...Nigeria....Zimbabwe....mambo yale yale tu. Juzi nimeona kwenye CNN International eti inflation ya Zimbabwe imefikia asilimia 66,000....how can this even be possible? Halafu eti chama cha Zanu-PF kimempendekeza Mugabe agombee tena...and guess what...atashinda tena na wakati huo huo Wazimbabwe wanakula panya!! Wakati wa Rhodesia mambo yalikuwa freshi...so nini kimetokea?
Natambua kwamba Waafrika wote si watu weusi but damn...we obviously got some issues....we can't run anything...
JK alimleta huyu anyooshe njia lakini naona ime Pinda kama mshale na upinde wake, ndiyo kazi yenyewe hiyo ukiipata kwa kukurupuka bila tegemeo ndivyo inavyokuwa. Mwaka huu hii njia ita Pinda sana.
Pinda si alikuwa karibu na mpini wa mshale ulio Pinda?
Yuko aliyeanzisha mizengwe. Kuwa kuwa mizengwe ilishaanza wamesubiri ipite kwanza kisha watapinda, plani iko wazi, mizengwe kaianza, ikipita, pinda!
Waziri wetu mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda yuko ziarani Rukwa kwa siku saba 'kukagua' shughuli za maendeleo huko na nadhani sana sana ni kuwaona ndugu na jamaa zake baada ya kupata nafasi ya ukulu, ukubwa na uzee aliouachia Lowassa.
Sasa akiwa katika kijiji cha Kakese leo asubuhi amemtetea Edward Lowassa akisema kuwa kosa alilotenda Lowassa ni la kwanza na kwamba Waswahili husema kosa siyo kosa hadi utakapolirejea.
Pinda akizungumzia kashfa ya Richmond alisema Lowassa hapaswi kulaumiwa kwa kuwa yaliyomkuta ni miongoni mwa changamoto za uongozi na kwamba alifanya vyema kujiuzulu baada ya wanaomsaidia kuhusishwa na sakata la kampuni ya mfukoni ya Richmond ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura.
Kwa kauli hizi tutarajie makubwa kuliko ya kina RICHMOND !
Sipendi kuamaini kwamba Mh kamtetea mfisadi. Labda kwa maono yangu ulimi umeteleza. Au tusubiri wasaidizi wake watasema mwandishi wa habari hii amemnukuu vibaya Mh. Kama vyote hivyo havitatokea, basi nitaamini na yeye yuko kwenye mtandao wa kumuosha EL. Tukumbuke hata alipo kuwa anawashukuru wakuu wa mjengoni kwa kumkubali kuwa kilanja wao, alisema atatekeleza kwa makini yale mema yaliyofanywa na EL. On the other hand labda na hili la Richmond hewa kwake ni jema.
Kila mtu ana mtazamo wake wa maono. Ila kwa hili tumwambie mkuu wetu hapa katuchefua.
What else is new! Dr. Watson akisema sisi mazuzu tunaanza kulialia
Waziri wetu mkuu Mizengo Kayanza Peter Pinda yuko ziarani Rukwa kwa siku saba 'kukagua' shughuli za maendeleo huko na nadhani sana sana ni kuwaona ndugu na jamaa zake baada ya kupata nafasi ya ukulu, ukubwa na uzee aliouachia Lowassa.
Sasa akiwa katika kijiji cha Kakese leo asubuhi amemtetea Edward Lowassa akisema kuwa kosa alilotenda Lowassa ni la kwanza na kwamba Waswahili husema kosa siyo kosa hadi utakapolirejea.
Pinda akizungumzia kashfa ya Richmond alisema Lowassa hapaswi kulaumiwa kwa kuwa yaliyomkuta ni miongoni mwa changamoto za uongozi na kwamba alifanya vyema kujiuzulu baada ya wanaomsaidia kuhusishwa na sakata la kampuni ya mfukoni ya Richmond ambayo ilishinda zabuni ya kuzalisha umeme wa dharura.
Yes...why are you surprised...? Pinda ni kiongozi mzuri sana na ni muadilifu