Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Mwacheni mzee wa watu akapumzike kwa amani MUNDULI TZ ya mabadiliko haihitaji vizee kama wale.
 


Lakini Kama ni watia nia wenyewe ndio wanaogharimia waandishi hapo sina neno kwani jamaa yule mpunga kwake sio tatizo na kila mwandishi angependa kuambatana naye maana wahenga walisema "Fuata asali ule nyuki"

Nikusahihishe huo usemi hapo mwisho huwa wanasema "fuata asali uumwe na nyuki!"
 
bila ya CCM kuunda "UKAWA yao" na Lowasa, Magogoni inaingia mikononi mwa upinzani kuanzia Oktoba.
 
Lowasa sasahivi ni project. Hata hapa JF thread yoyote inayomtaja inajaa faster. Watu wanalipwa kukesha mitandaoni, vyombo vya habari vinaalikwa na bahasha za khaki zilizonona.

Kawaida project inakuwa na mda maalum kwa hiyo acha watu wavune mda huu
 
Lowasa sasahivi ni project. Hata hapa JF thread yoyote inayomtaja inajaa faster. Watu wanalipwa kukesha mitandaoni, vyombo vya habari vinaalikwa na bahasha za khaki zilizonona.

Kawaida project inakuwa na mda maalum kwa hiyo acha watu wavune mda huu

Pumba.com...... I thought ungesema ni project kwa sababu anauzika zaidi
 
Mara anaumwa, mara fisadi, mara anapendelewa na vyombo vya habari...... Which is which? Ukilia lia sana mwisho watu wanazoea kilio chako.
 
Uko dunia ipi? Hata kama hujui kusoma basi hata picha huoni? Mtu akishakuwa fisadi anaweza KUNUNUA kila kitu hata mkeo. Tafakari utapata jibu sahihi bila kusahau kuwa unapokuwa mchafu sana inakubidi uoge mara nyingi zaidi ili utakate.
Ha ha haaa! Hapo umeua mkuu lakini mfano wa mke ungeulekeza kwako inge-sound vizuri zaidi mkuu.
 
Wewe ni punguani unawezaje kuona kuna upendeleo wakati hujafanya research ya unachofikiria unataka kuwaaminisha jamii kuwa vyombo vya habari viko biased.wr ni sawa na ukoma jinga kubwa wewe.mwambie mumeo atakuelewa lakini sio humu jf unaleta udaku.udaku peleka uwanja wa fisi manzese
Inataka mtu kuwa na moyo kama wa mwendawazimu ili kujibizana na wewe.
 
Lowassa hapendelewi,wala hagawi pesa,acheni kuropoka ovyoo,utagawia watu 11000 pesa,unawapaje tena uwanjani.shit
 
Lowassa hapendelewi,wala hagawi pesa,acheni kuropoka ovyoo,utagawia watu 11000 pesa,unawapaje tena uwanjani.shit

Minguruwe na mibata ndyo inayoweza kufijiri kuwa lowasa anagawa pesa,watu waliojitokeza kuanzia arusha hadi katavi ni zaidi ya elfu 70,sijui utawapa kiasi gani.maskini lowasa wa watu roho za kishetani zinakufuatafuata,usijali songa mbele mungu yuu nawe
 
watanzania wameamua kuweka matumaini yao kwa lowassa kwasababu wamemuona mchapakazi mzuri na ana maamuzi sahihi kwa kile anachokiamini maana hata Buddhist alipata kusema hivi namnukuu:beliave nothing no matter who said it unless it agrees with your reason and your own common sense:Mtu huyu si mwingine kwa walio tangaza nia bali ni Edward Lowassa anayeweza kukidhi matakwa ya watanzania ktk mchakamchaka wa maendeleo,Viva Lowasa:White hair in white house
 
Anapendelewaje jamani .waandishi wa habari na wao ni watu makini wenye akili timamu lazma wapeleke macho yao na masikio kwenye mvuto na mwenyewe mvuto si mwingine zaidi ya Edward Ngoyai Lowassa
 
Edward Lowassa mpenzi wa watu na suluhu la matatizo ya Watanzania na wananchi wameshaamua
 
Back
Top Bottom