Mkuu ingekuwa vizuri kama angeshauriwa awe anarekodi tu mazungumzo yake kwa audio au video kwa camera ya kawaida tu na kuturushia humu. Akifanya hivyo sisi wenyewe tutasambaziana kwa wasap. Media za bongo zinamilikiwa na mafisadi, no way wakampa promo, hata mzee machache naye si unaona yuko kwa fisadi
cc
DSN
Pokee hii Mkuu taratibuu ...sometimes kutoa mwiba kwenye mguu kwahitaji uthubutu...hizo nyingine ni mbwembwe...tu wanafanya manake kila jambo lina mwisho na miwsho huo ni sasa....TAIFA linahitaji KIONGOZI yani KIUHALISIA haiitaji WAPIGA DEAL any more so kwa wenye UFAHAMU ilila vyombo si tatizo kwa kuwa vyombo hivi vinamilkiwa na binadamu ambao ni human being with fresh...na wana mioyo yenye UTASHI...sasa UTASHI wao ukimezwa na KUKWEPA UKWELI na kuegemea MASLAHI zaidi hakika TAIFA linapoteza NJIA ndio maana pia kwa uhuru pia bado kuna kazi kubwa sana ya MFUMO kuja kujenga vyombo vya HABARI kutambua ROLE yao katika KUSIMAMIA DHAMIRA YOYOTE INAYOHUSU MASLAHI YA TAIFA.LINAPOZUNGUMZWA SWALA LA RUSHWA AU UFISADI hilo ni jambo la Muhimu sana kwenye Taifa.
Kuna tetesi ya baadhi ya vyombo vya habari kujihusisha dhahiri na kuwabeba baadhi ya wagombea wenye ukwasi na kuwatoa nje wasio na pesa za kulipia muda wa kwenda hewani kwa habari na jumbe zao.Kwa wafuasi wa vitabu vya BIBLIA wanajua kabisa machaguo ya MUNGU ya mungu kama Kina DAUDI, ISACK na wengineo ujio wao kama machaguo ya Mungu ulikuwa na mikwaruzo mingi ambayo ukiitizama kwa haraka wake unaiona kwa mtu kama Makongoro...Kwa watu wenye imani ilo si tatizo..ni sehemu ya kumfanya muhusika kushuhudia ukuu wa MUNGU katika kuthibisha makusudio yake.Wateule wa Mungu kitabia wanakuwa MALOFA hawana ukwasi wa kushindana na wakubwa...uja kwa kujikongoja mapka pale MUNGU anapowainua yeye...Sasa ujio wa Makongoro ni LAZIMA uje na mambo kama hayo ya vyombo vya habari mnavyolalamikia.
Kama tumesikia kauli za viongozi baadhi kuwa RAIS wa TANZANIA anateuliwa na MUNGU,,kwa walio wengi hawajui ni kwanini baadhi ya Wazee hao kusema HAYO...Ukiwa na umri wa utu uzima...baaadhi ya watu wa umri huo umsogelea MUNGU na uchaji wa MUNGU ukishika nafasi yake basi watu hao upata nafasi ya kuwa na maono ya nini kinatakiwa.Sasa umri ule huwa AUONGEKI hasa wale wenye UCHAJI wa kweli kumtafuta MUNGU.Ni kwa umri huo tunasema UTU UZIMA DAWA...na ni kwa umri ule PESA na MALI za DUNIANI huwa HAVINA tena nafasi bali UPENDO na kuthamini watu tena hasa wenye UHITAJI..na shida za kidunia.
Sasa hawa waongaji bado hawajafika umri wa kumjua Mungu na pia kwa bahati mbaya kwa umri wao wako katika fungu la DESTROYERS ...sasa kumtoa huko kunaitajika AKILI ndefu ukizingatia wana resource nyingi walizo kusanya..Amini nawaambia wanaonekana ni tishio sasa kwa kuhonga...wakisikia SAUTI ya MUNGU wengine watajitoa kwenye RACE bila kubisha na watakao ngangania kwa JEURI YA PESA watakutana na SAUTI MUNGU NA YA MAMA TANZANIA [Wazee watu wazima wanajua] na wakiisikia na kukaa pembeni miaka kumi ijayo watakuwa ndio watu wenye kuongoza kwa kutafuta HAKI za wanyonge..yani watakuwa ni wakina SIMEON WA KIRENE...walio amua kucha tunguli na kumfuata YESU kutangaza injiri.
Ningependa tujikumbushe na misemo hii ya wahenga
1: You can fool all the people some of the time, and some of the people all the time, but you cannot fool all the people all the time.
2: You can fool some of the people all of the time, and all of the people some of the time, but you can not fool all of the people all of the time.Ablaham Lincoln
3: You can fool some people some times but you cant fool all the people all the time -Bob Marley.
Pia kuna wahenga hawa chini wanasema:
[h=2]
Bob Marley Who The Cap Fit Lyrics[/h] Man to man is so unjust, children:
Ya don't know who to trust.
Your worst enemy could be your best friend,
And your best friend your worse enemy.
Some will eat and drink with you,
Then behind them su-su 'pon you.
Only your friend know your secrets,
So only he could reveal it.
And who the cap fit, let them wear it!
Who the cap fit, let them wear it!
Said I throw me corn, me no call no fowl;
I saying, "Cook-cook-cook, cluk-cluk-cluk."
Some will hate you, pretend they love you now,
Then behind they try to eliminate you.
But who Jah bless, no one curse;
Thank God, we're past the worse.
Hypocrites and parasites
Will come up and take a bite.
And if your night should turn to day,
A lot of people would run away.
And who the stock fit let them wear it!
Who the (cap fit) let them (wear it)!
And then a-gonna throw me corn,
And then a-gonna call no fowl,
And then a-gonna "Cook-cook-cook, cluk-cluk-cluk."
---
/Instrumental break/
---
Some will eat and drink with you,
Then behind them su-su 'pon you, yeah!
And if night should turn to day, now,
A lot of people would run away, yeah!
And who the cap fit, let them wear it!
Who the cap fit, let them wear it!
Throw me corn, me no call no fowl;
A-saying: "Cook-cook-cook, cluk-cluk-cluk."
... : "Cook-cook-cook, cluk-cluk-cluk."
Throw me corn (cook-cook-cook);
Me call no fowl (cluk-cluk-cluk)