Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Magufuli hauziki kabisa na ukiweka story yake kwenye gazeti return ya siku hiyo ni almost 90 pct
 
Magufuli wamemweka magomeni nzima ila ndio hauziki kabisaaaa
 
Lowassa kazitia mfuko media zote isipokuwa RAIA mwema tu ..kwani unawaza Tz ina magazeti ama makaratasi? unawezaje ukasoma magazeti yaliyoandikwa na vihiyo alafu ukasema umesoma magazeti? wanaandika habari za Rose kamili badala ya kuandika hoja
 
jana nilipita kariakoo, kulikua kuna team inabandika mabango ya lowassa, cha kushangaza watu wote waliacha shughuli zao wakaanza kushangilia mabango yenye picha za lowass na wengine kuorodhesha matatizo yao kana kwamba wanaongea na lowassa kumbe ni picha tu

Hahahaaaa umenichekesha sana
 
Ni kweli. Magufuli hauziki. Ila ndo rais wetu wa awamu ya 5. Mtamoenda tu.
 
Lowassa kazitia mfuko media zote isipokuwa RAIA mwema tu ..kwani unawaza Tz ina magazeti ama makaratasi? unawezaje ukasoma magazeti yaliyoandikwa na vihiyo alafu ukasema umesoma magazeti? wanaandika habari za Rose kamili badala ya kuandika hoja
Mkuu ni kweli kabisa! Mimi huwa nawashangaa hawa waandishi wetu. Yaani mtu yeyote hata akiwa mwizi akiwa na bahasha anaweza kuitisha press conference nao wakaja na kuandika habari zake!
 
yaani kabadilisha upepo kiajabuajabu kwakweli, ukisema fisadi watu tunamtaka huyohuyo, sijui mgonjwa watu huyohuyo, huyu atakuwa ana nyota ya mshale kama mimi
 
Back
Top Bottom