kweli kabisa mkuu.Mengi anapenda mno hela huyu mzee ni nyoka mbele ya pesa.Tanzania inakatisha tamaa kila kitu ni pesa.
Kwani mkuu wewe hupendi hela?? Mengi ni mfanyabiashara mi nina uhakika hata kama bwana edo angekata mkwanja wa kuonyeshwa yeye taarifa ya habari yote, angeonyeshwa. Kwa mfanyabiashara kinachoangaliwa ni faida..