Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

You people you don't know the power of secret society known as Freemason.
 
Na akipitishwa basi UKAWA wasahau maana kila TV itakuwa ni yeye tu
 
kila mtu anaona fisadi lowasa na chenge wananunua kila kitu.Itv nayo imenunuliwa?

usiumize kichwa rafik kwanza fisadi ndio mtamu* na hata sera zake tutakua tumzskia kupitia vyombo vya habar ivyo vnavysemekana amevnunua
 
Kwani vyombo vya habari ndo CC ama ndo vinapiga kura? mwacheni tu atakutana na saizi yake muda si mrefu wala asiwape shida ....we fikiria Makongoro hana hata kinote book lakini angalia anavyowatetemesha mpaka wanaanza kuunga unga picha za ki.k.u..ma
 
na nibora sheria ya mitandao iwepo vyombo vyenyewe vinanunuliwa kama Big G kwa kupoteza wananchi
 
You people you don't know the power of secret society known as Freemason.

I used to watch it through their films showing how massively they get above on every tip they desire but they were always defeated when their magics were subjected to the Holy Bible by the arch priests
 
I used to watch it through their films showing how massively they get above on every tip they desire but they were always defeated when their magics were subjected to the Holy Bible by the arch priests

  • In fact Freemasons have greater control over medias. Many people who own medias are Freemason members. Freemasons influence everything they want through medias.

    They are always making influence on politics through media. They also have influence in law through lawyers. Most of lawyers are members of this secret society. These are people who control this World.

    From here you can connect dots and get clear understanding of this society know ans Freemasonry​



 
I used to watch it through their films showing how massively they get above on every tip they desire but they were always defeated when their magics were subjected to the Holy Bible by the arch priests
Out of God control there is Freemason control. They are always prepare people they want to be leaders in community to exercise their power and control.
 
Apendelewe ama asipendelewa na vyombo vya habari, kamati kuu (CC) itatumia vigezo 13 vya chama kumpata mgombea wa kupeperusha bendera yake. Hayo mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu
Robo tatu ya wajumbe wa kamati kuu wamenunuliwa na Lowassa
 
Habari ya mujini ni Lowassa. Kigoma kapata wadhamini zaidi ya 11000.Jaribu kuzuia mafuriko na vidole. Utabebwa na maji bure.Kubalini yaishe.

Hahahahahaha

JF kuna vituko!!
Yaani umenifurahisha sana mkuu. Kuzuia mafuriko kwa vidole!! hiyo kali, na hayupo anayeweza kufanya hivyo.
 
Tulimumu

Kwani hujagundua hata humu JF Lowasa ndio anajadiliwa zaidi, hapo unajifunza nini? Basi hata kama na wewe ungekuwa mwandishi wa habari ungefuatilia habari za Lowasa kwa sababu ndio zinauza habari, tuwacheni chuki mzee nyota yake inang'ara.
 
Last edited by a moderator:
Mleta threads,

Wewe mwenyewe umempendelea kwa kumwaandika humu...

usimwaandike tena, utakuwa unampa publicity
 
Lowasa ndo habari ya mjini #talk of the town# magazeti yako yasipoandika habari za lowasa hayauziki utaenda kufungia maandazi kwenu.
 
Wagombea wengine wa vichakani nani awaonyeshe kwenye tv
 
Vinampendelea au amevinunua? these are two different vocabulary.
 
Usipoandika habari ya Lowassa huwez kuuza gazeti wala chombo chako hakitouzika ....

Hata hp jf bila kumzungumzia Lowassa hupati comment nyingi
 
Back
Top Bottom