Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

nimewafatilia sana ITV,wamekuwa wakimrusha sana lowassa au ndio mambo ya ukanda?mbona watia nia wako wengi sana ccm lakini chombo hicho kimekuwa kikirusha sana lowasa kuliko wagombea wengine.....tumesha jua ajenda yenu ninyi watu wa lowassa na ukaskizini.

Tatizo la kuogopa umande ndo hilo,unakuwa na akili za kibatabataaa
 
nimewafatilia sana ITV,wamekuwa wakimrusha sana lowassa au ndio mambo ya ukanda?mbona watia nia wako wengi sana ccm lakini chombo hicho kimekuwa kikirusha sana lowasa kuliko wagombea wengine.....tumesha jua ajenda yenu ninyi watu wa lowassa na ukaskizini.
wewe team makongoro/ wasira kale malimao...tv nyingine mbona huziongelei
 
nimewafatilia sana ITV,wamekuwa wakimrusha sana lowassa au ndio mambo ya ukanda?mbona watia nia wako wengi sana ccm lakini chombo hicho kimekuwa kikirusha sana lowasa kuliko wagombea wengine.....tumesha jua ajenda yenu ninyi watu wa lowassa na ukaskizini.

we mgombea wako ni wa kanda gani ? Lowassa kila kona ya nchi acha kujishusha kwa kisingizio cha ukabila ITV imewapa airtime wote walioomba na kulipia matangazo hata yule wa std seven . ITV itamuonesha Lipumba na DR sLAA watakavotangaza nia kiukweli iko fair au unataka iwe kama TBC? HICHO NI CHOMBO HURU
 
Lowassa kalipia kutangazwa
wenzake wanategemea huruma ya waandishi?
 
Wakati huu mchakato wa wanachama wa CCM waliochukua fomu kuwania kuteuliwa kukiwakilisha chama katika kinyang'anyiro cha urais kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu 2015 wakizunguka mikoa mbali mbali kutafuta wadhamini, waziri mkuu aliyejiuzulu ambaye naye anawania kuteuliwa anaonekana kupewa upendeleo wa wazi kwenye vyombo vya habari kama televisheni, redio na magazeti. Mimi binafsi sijaelewa kama upendeleo huu ni kutokana na mhusika mwenyewe kuwagharimia waandishi wa habari au ni vyombo vyenyewe ndio vinaonesha upendeleo huo au kuna asali imepitishwa ili jamaa apewe promo kubwa. Ukweli ukifuatilia taarifa za mizunguko ya watia nia wakitafuta wadhamini, Lowassa anapambwa sana na vyombo vya habari hasa TV kuliko wenzake. Yaani wengine hata hawasikiki utadhani wamechukua fomu na kwenda nazo nyumbani. Mimi nashauri vyombo vya habari kutupa habari kwa haki na usawa kwa watia nia wote hasa kama taarifa zao zinagharimiwa na vyombo husika. Lakini Kama ni watia nia wenyewe ndio wanaogharimia waandishi hapo sina neno kwani jamaa yule mpunga kwake sio tatizo na kila mwandishi angependa kuambatana naye maana wahenga walisema "Fuata asali ule nyuki"

Mwambie mumeo aanzishe chombo chake cha habari ili utoe usawa kwa wagombea wote.
 
nimewafatilia sana ITV,wamekuwa wakimrusha sana lowassa au ndio mambo ya ukanda?mbona watia nia wako wengi sana ccm lakini chombo hicho kimekuwa kikirusha sana lowasa kuliko wagombea wengine.....tumesha jua ajenda yenu ninyi watu wa lowassa na ukaskizini.

kweli kabisa mkuu.Mengi anapenda mno hela huyu mzee ni nyoka mbele ya pesa.Tanzania inakatisha tamaa kila kitu ni pesa.
 
we mgombea wako ni wa kanda gani ? Lowassa kila kona ya nchi acha kujishusha kwa kisingizio cha ukabila ITV imewapa airtime wote walioomba na kulipia matangazo hata yule wa std seven . ITV itamuonesha Lipumba na DR sLAA watakavotangaza nia kiukweli iko fair au unataka iwe kama TBC? HICHO NI CHOMBO HURU

fisadi lowasa ananunua kila mtu.Huyu ni shetani kupambana nae inabidi tujipange kweli kweli Nape na mangula inabidi wakaze.Takukuru Hosea chali
 
Mwanzo niliipenda sana ITV kwa kurusha taarifa kwa weledi,ila kwa sasa naanza kuichukia kwani inaonekana kutumika kisiasa zaidi...kuliko maslahi ya uma.hivyo kwa staili hizi mnazofanya ITV mnatoka kwenye misingi ya kitaifa na kuleta ukanda..hii itawagawa watanzania kwani baadhi ta wananchi wanahoji mbona watia nia wengine hawatangazwi????huu ni uinevu na kwa jinsi hii nashauri bora TBC ndio irushe taarifa ya habari...wengine warushe matangazo.
 
Sio vyombo vya habari tu bali hata wapanda bodaboda na wengine wengi wenye njaa zao. Jamaa anagawa noti km njugu. Lakini hatoboi popote
 
Nawe unaamini gafla anapendwa sana. Kwa lipi, monduli hakuna maji safi, madawati. Njaa zenu zitatupeleka pabaya
 
Mwambie mumeo aanzishe chombo chake cha habari ili utoe usawa kwa wagombea wote.
Hapa ndipo ndipo unapojidhihirisha wazi kuwa huna uwezo wa kujenga hoja katika mijadala badala yake unaishia kumshambulia mtoa hoja. Sasa ukishasema hivyo ndio umejadili nini? Lengo lako ni kutaka kunitia hasira ili nipambane na wewe. Siwezi kufanya hivyo kwasbabu watu watashindwa kututofautisha. Ukiwa unaoga bafuni au mtoni halafu kichaa akaja akachukua nguo zako na kuanza kukimbia nazo na wewe ukatoka mbio uchi na kuanza kumfukuza, watu watakuona wewe ndiye kichaa kuliko kichaa mwenyewe kwasababu wewe utakuwa unakimbia uchi. Kwakuwa umekuja mwenyewe hadharani kujitangaza, jamii itaamua yenyewe kuona nani kati ya mtoa mada na mchangiaji wa aina yako ni kichaa. Ni vizuri wakati mwingine kunyamaza ili watu wadhani kuwa wewe ni mjinga kuliko uongee halafu uwathibitishie watu kuwa kweli wewe ni mjinga. Nimekusamehe kwakuwa hujui ulitendalo.
 
fisadi lowasa ananunua kila mtu.Huyu ni shetani kupambana nae inabidi tujipange kweli kweli Nape na mangula inabidi wakaze.Takukuru Hosea chali

Shetani ni wewe na mumeo.unaita wengine majina mabaya huna hata aibu kuna siku utamuita mumeo paka.panya buku ni wewe
 
Ushahidi upi na Mahakama ipi iliyomtia Lowassa hatiani? Au ndio maneno ya Washinda njaa?
 
Ni style ya fisi kula miguu yake, halafu anajiona kashiba, kumbe hawezi kusimama tena. Mambo ya feza hayo
 
Apendelewe ama asipendelewa na vyombo vya habari, kamati kuu (CC) itatumia vigezo 13 vya chama kumpata mgombea wa kupeperusha bendera yake. Hayo mengine yote ni mbwembwe za kusherehesha zoezi la uchukuaji na urejeshaji fomu
 
Hapa ndipo ndipo unapojidhihirisha wazi kuwa huna uwezo wa kujenga hoja katika mijadala badala yake unaishia kumshambulia mtoa hoja. Sasa ukishasema hivyo ndio umejadili nini? Lengo lako ni kutaka kunitia hasira ili nipambane na wewe. Siwezi kufanya hivyo kwasbabu watu watashindwa kututofautisha. Ukiwa unaoga bafuni au mtoni halafu kichaa akaja akachukua nguo zako na kuanza kukimbia nazo na wewe ukatoka mbio uchi na kuanza kumfukuza, watu watakuona wewe ndiye kichaa kuliko kichaa mwenyewe kwasababu wewe utakuwa unakimbia uchi. Kwakuwa umekuja mwenyewe hadharani kujitangaza, jamii itaamua yenyewe kuona nani kati ya mtoa mada na mchangiaji wa aina yako ni kichaa. Ni vizuri wakati mwingine kunyamaza ili watu wadhani kuwa wewe ni mjinga kuliko uongee halafu uwathibitishie watu kuwa kweli wewe ni mjinga. Nimekusamehe kwakuwa hujui ulitendalo.

Wewe ni punguani unawezaje kuona kuna upendeleo wakati hujafanya research ya unachofikiria unataka kuwaaminisha jamii kuwa vyombo vya habari viko biased.wr ni sawa na ukoma jinga kubwa wewe.mwambie mumeo atakuelewa lakini sio humu jf unaleta udaku.udaku peleka uwanja wa fisi manzese
 
Back
Top Bottom