OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
Lowassa ndiye rais wa Tanzania ajaye....
tukiwaambia hivi vyombo vya habari vinatumika vibaya mnakataa....tukisema saa mbili vijiunge tbc inakuwa maneno.
Fisadi Lowassa AKA mgawa rushwa mashuhuri katika nyumba za ibada kupitia "mchango wa marafiki zake" wa mabilioni si ajabu kishagawa rushwa ya nguvu mpaka kwenye vyombo vya habari ili wampigie debe la nguvu.
Lowasa anapesa zake za kifisadi sidhani kama yupo mwandishi atakayeweza kucheza mbali na zile pesa za bure.
Mijitu mingine ina akili fupi hivi jamani kwa mafuriko yanayojitokeza kwa lowassa ni chombo gani cha habari kitaacha kutoa hizi habari?
Kila TV na magazetini wattaaka kutoa hizo habari maanabhaijawahi kutoka katika historia ya tanzania
Lowasa anapesa zake za kifisadi sidhani kama yupo mwandishi atakayeweza kucheza mbali na zile pesa za bure.
fisadi lowasa ananunua kila mtu.Huyu ni shetani kupambana nae inabidi tujipange kweli kweli Nape na mangula inabidi wakaze.Takukuru Hosea chali
tukusaidiaje???nimewafatilia sana ITV,wamekuwa wakimrusha sana lowassa au ndio mambo ya ukanda?mbona watia nia wako wengi sana ccm lakini chombo hicho kimekuwa kikirusha sana lowasa kuliko wagombea wengine.....tumesha jua ajenda yenu ninyi watu wa lowassa na ukaskizini.
Napata tabu sana kama kweli watz tumeamua kumwingiza ikulu fisadi. Hivi kweli urais unauzwa kwamba una bei?
Lowasa anapesa zake za kifisadi sidhani kama yupo mwandishi atakayeweza kucheza mbali na zile pesa za bure.
Fisadi Lowassa AKA mgawa rushwa mashuhuri katika nyumba za ibada kupitia "mchango wa marafiki zake" wa mabilioni si ajabu kishagawa rushwa ya nguvu mpaka kwenye vyombo vya habari ili wampigie debe la nguvu.
Ajitokeze walau mmoja atusaidie waTanzania tuamini Lowasa anatoa rushwa
hili wala sio la kujjuliza ukizingatia waandishi njaa wa TZ
angekuwa ali kiba ningepiga kura...mpaka sasa mfalme tunayemtambua ni ali kiba...domo akalee mimbaHaya msisahau kuwapigia kura wanaopeperusha nchi yetu kimataifa
Kupiga kura
Diamond Platnumz kategori 3 (tatu) - Best MALE, Best COLLABORATION na Best LIVE and Vanessa 1(moja) -- Best FEMALE
ilj ngia kwa link hii chini
MAMA 2015
Bonyeza bonyeza VOTE usichoke