Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

njaa mbaya ndg yangu
Wanauza nchi eti njaa? Waende zao huko. Cha ajabu nikasikia chombo kimoja cha habari eti wanasiasa wajifunze kuacha mbwembwe wakati wa kutia nia, wakati huohuo wao wanasahau kuwa wanatakiwa kujifunza kwa kuacha kunajisi taaluma yao kwa kuandika habari kwa upendee. Tuwazomee wote wanaojifanya kumgeukia Magufuni, kwani hakuwepo tangu awali/ Muda huu ndio wanamwona? Waache unafiki na ukanjanja.
 
Siyo hivyo. Wauze nchi kwa maslahi yao binafsi. Waendelee naye sasa.

Waandishi wetu njaa zimezidi, wengi walikuwa na maslahi yao binafsi wasijue kuwa kalamu zao zina nguvu sana katika jamii.

BORA TU ALIVYOKATWA MAPEMA
 
Nani aliyesema kuwa habari nzuri zilikuwa kwa Lowassa tu, na siyo watia nia wengine?

Sio siri habari za Lowassa zilikuwa na mvuto kwa sababu ya njaa ya waandishi wetu wengi.
Kama unapoweka coverage kumpamba EL una uhakika sio tu wa posho ya uhakika, bali hata promising future, kwa nini tusiseme kuwa habari nzuri zilikuwa kwa Lowassa?
Tusidanganyane watanzania wengi, sio waandishi tu njaa zetu zinatufanya tunaisaliti nchi yetu !
 
Mtu anayeamini waganga wa kichawi hawezi kuwa rais

ImageUploadedByJamiiForums1436802936.856006.jpg
 
Watu wako kimaslahi. Njaa zitatuua. Gwajima naye akasema watu wakale malimau. Kingunge naye aibu tupu, atajificha wapi.
 
Kwahiyo unataka kusema nini hapa?

Sasa ni kichwa maji au umbulula?amekwambia vyombo vya habari viache unafiki wa upendeleo na bahati nzuri amevitaja baadhi ya vyombo hivyo.sasa hujamuelewa wapi?
 
cmp
Nilishamuelewa kitambo..rejea post yangu ya pili..povu la nini?
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa. Vyombo vya habari mtendeeni haki EL msimwache peke yake. Kuweni na shukrani japo kiduchu vinginevyo mtaogopwa kama ukoma! Au ni ishara kwa Magufuli akae nanyi kwa tahadhari? Yangu macho na masikio kwa huyu aliyebaki kwa maana kwamba ninyi ni majasiri hamtaiacha asili!
 
Lowassa dume LA mbegu wivu was kikwete ni umaarufu wa lowasa , fahamuni mnamuandama lowasa na hakuwa mwenyewe kweny waliotoswa anzani kuzungumzia hatima ya mamilioni iliyokamatwa zilikuwa za nani?
 
wewe hivyo ni vyombo vya biashara kama vipi anzisha cha kwako.
 
Wanauza nchi eti njaa? Waende zao huko. Cha ajabu nikasikia chombo kimoja cha habari eti wanasiasa wajifunze kuacha mbwembwe wakati wa kutia nia, wakati huohuo wao wanasahau kuwa wanatakiwa kujifunza kwa kuacha kunajisi taaluma yao kwa kuandika habari kwa upendee. Tuwazomee wote wanaojifanya kumgeukia Magufuni, kwani hakuwepo tangu awali/ Muda huu ndio wanamwona? Waache unafiki na ukanjanja.

Ujue pamoja na kuendekeza njaa, wengi wao hasa wahariri huwa wanaahidiwa vyeo ndo maana wanaamua kupotosha umma kwa maslahi binafsi. Wengi ndo hao utasikia sijui kateuliwa kuwa mkuu wa wilaya gani sijui, au afisa mwandamizi serikalini
 
Pamoja na kuhabarisha, lazima waandike habari inayopendwa na hadhira /wasomaji. Ili km radio isikilizwe, km ni TV isikilizwe na kuangaliwa km ni gazeti lisomwe. Sasa uandike gazeti wakati hakuna mtu wa kulisoma? M-walaumu kidogo.
 
Stabilaiza

Just vent your pressure for the sake of deflatig yourself, zero effect! Huko tutokako Magufuli Wako hakuwa habari, but the opposite was the case for Lowassa, upende usipende na ndio kilichitokea, sasa hali imebadilika; JPM sasa Ni ndio habari ya mujini tupende tusipende huo ndio ukweli WA kwisha, sasa tunakushangaa wewe kujitia ukakaai kisa JPM kaandikwa! Why are you trying to "gag" our mouths?! Na kea mandate gani uliyokuwa nayo mpaka tugwaye?! Hii Ni fourth estate"
 
Last edited by a moderator:
Stabilaiza

Just vent your pressure for the sake of deflating yourself to zero effect! Huko tutokako Magufuli Wako hakuwa habari, but the opposite was the case for Lowassa, upende usipende na ndio kilichitokea, sasa hali imebadilika; JPM sasa Ni ndio habari ya mujini tupende tusipende huo ndio ukweli wa kwisha, sasa tunakushangaa wewe kujitia ukakasi na vijembe kibao kama JK eti kisa JPM kaandikwa! Why are you trying to "gag" us, plz do not underrate our intellect?! Na kwa mandate gani uliyokuwa nayo mpaka tugwaye?! Hii ni "fourth estate"; yaani Mhimili wa Nne; hautishwagi muzee! Usijiumize buree.
 
Last edited by a moderator:
Ndugu ungekuwa mfanyabiashara ungejua kwa nini EL alibebwa. EL ni biashara inajiuza yenyewe sokoni. Headline ya EL inauza.
 
Back
Top Bottom