MICHAEL JOSEPH93
Senior Member
- Aug 1, 2015
- 118
- 5
Yes we can
nimewafatilia sana ITV,wamekuwa wakimrusha sana lowassa au ndio mambo ya ukanda?mbona watia nia wako wengi sana ccm lakini chombo hicho kimekuwa kikirusha sana lowasa kuliko wagombea wengine.....tumesha jua ajenda yenu ninyi watu wa lowassa na ukaskizini.
Vyombo vyenu vya habari vimekazana kuripoti habari za Lowasa na ukawa kana kwamba ccm haina mgombea wa uraisi. Kwa sasa hali ilivyofikia Lowasa hashikiki mnapoteza mda na propaganda chafu za kutaka kuichafua ukawa na Lowasa wake. Wananchi kwa sasa hawarudi nyuma hata muambie nini mawazo yao yako kwa Lowasa kwa sasa.
Mwacheni Lowasa afanye yake mtajipa shida bure
Mm nilimshangaa sana nape...badala ya kujikita ktk nambo ya chama chake...anaongelea mambo ya ukawa...huyu mtu nadhani hazimtoshi...hata kama ni mambo ya siasa si busara wala heshima kumwita lowassa jamaa...sijui ndo kutokufunzwa utotoni huko au ndo makuzi gani hata sijui
Jamani habari zenu wakuu!
Ndugu Lowasa wa UKAWA hajazindua kampeni zake, tofauti na magufuli wa CCM. Lakini cha kushangaza pamoja na nguvu kubwa CCM waliotumia kwenye uzinduzi wa kampeni zao, mgombea wao hauziki kabisa.
1. Jamiiforums, facebook , twitter , instagram etc. Habari ni Lowasa na boda boda, mama ntilie, sokoni, vichochoroni na kadharika.
2. Magufuri yupo Katavi lakini cha kushangaza hana publicity kabisa. Ni kama vile amesahaulika. Hata wana CCM wenzake wamegeuka na kuwa waenezi wa Lowasa.
3. Kila jambo afanyalo Lowasa ndio habari. Lowasa akikohoa nchi inasimama. Pamoja na kwamba bado hajawa rais wa nchi ila kwa hali ilivyo ni kama ameshakuwa rais.
My take.
Huyu mtu ni mpango wa Mungu aisee. Mbona anapendwa hivi?? Hivi nyie CCM hamjiulizi, hatumii nguvu yoyote lakini ni sheeeeeeda!