Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Ivi watz wakoje jamani anapendwa au watu wanafuata pesa zake.kamulizeni Nasari,huyo ni babu wa kuliwaaa kisha wanamtupa.aliliwa sana na watu kufurika sana kwake,lakin watu walimjua ni fisadi,wacha tule pesa zake kisha tumnyonge.ndivyo wafanyavyo watu siku hizi.ww upo wapi
 
Lowasa Created a system that is very active and efficiently working, it comprised of Medias, politicians, Civilians, Religious groups, and others, who are located at almost every corner of this country, I bet he was considering the old P5 formula. Proper Preparation Prevent Poor Performance
 
Ni wakati wa kuwasema hadharani vyombo vya habari vya Tz. Acheni unafiki, mlichagua kumbeba Lowassa, sasa kama ni 'kufa kufeni naye kama ni kuzikwa zikweni naye na kama ni kufufuka fufukeni naye'. Acheni unafiki wa kuhamishia habari zenu kwa Magufuli kwa sababu kama hakuwa wa maana kwenu kwa nini sasa hivi mumuone wa maana badala ya Lowassa?.


Vyombo karibia vyombe vya habari kuanzia magazeti na TV, mlimbeba sana Lowassa. Ingawa wanahabari walilamikiwa kuwalisha wananchi habari nyingi za kumpendelea Lowassa huku wakiacha habari zingine zenye umuhimu kwa taifa, mliweka pamba masikioni. Kama ni kwa mapenzi yenu ya dhati kwa Lowassa au ilikuwa ni nguvu ya pesa au u-opportunist wenu basi endeleeni kugandamana naye. Ilikuwa ni jambo ka kushangaza magazeti kama Mwanaanchi, ITVii, Tanzania wa Daima, na magazeti ya Habarii Corp na nk. Kumpamba Lowassa kana kwamba EL amekuwa lulu au amegeuka malaika.

Na kama kwa unafiki wao wanahabari wanamgeukia Magufuli pekee basi waendelee hivyo hivyo hata kama ataangukia pua kwa CDM na UKAWA kwa ujumla wake. Sijui kwa nini wanahabari wanaamua kwa makusudi kuacha kutumia taaluma zao vizuri na badala yake wanaongozwa na mihemuko na maslahi yao binafsi. Sasa wakome kwa tabia zao za kikajanja na waachane kabisa na Magufuli bali wafe, wazikwe na wafufuke na Lowassa.
 
waandishi wa habari wa tanzania ni wanafiki hawajitambui kwakweli ni janga la taifa letu
 
Habari sio lazima iwe mbaya tu,, hata nzuri ni habari!
 
Wahariri walinunuliwa kwa kupewa pesa,misosi na kulipiwa nauli na hotel
 
Ili magazeti yanunuliwe lazma kuwe na habar ambazo wananch watakuwa interested sana wanajsahau sana wandsh
 
Kwa lowasa kulikuwa Na bahasha za kaki.sasa hivi safari ya matumaini imeingia nyongo.
 
Nonsense

What is News ? In a simple definition news is anything current or new,which take attention of the people.

Sasa hivi ni magufuli
Umeguswa eeh. Kwani wakati Lowassa anaandikwa sana kulikuwa hakuna wagombea wengine? Waandishi walifundishwa kuwa wawe na upendeleo? Ule ulikuwa ni ukanjanja. Nasema vyombo vya habari vilivyomchagua Lowassa waendelee naye tuu hadi mwisho. Kama ni 'kufa wafe naye, kama ni kuzikwa wazikwe naye na kama ni kufufuka wafufuke naye'. Upo hapo?
 
Kwa lowasa kulikuwa Na bahasha za kaki.sasa hivi safari ya matumaini imeingia nyongo.
Kama Lowassa alikuwa anawabeba hata wahariri sasa iweje leo ghafla bini vuu awe siyo habari. Waendelee naye tu, waache unafiki wao.
 
Kwahiyo unataka kusema nini hapa?
Hujaelewa? Nimeandika kiswahili. Hujui lugha ya Kiswahili. Waandishe waendelee kumpamba Lowassa kama walivyofanya awali, waache unafiki wa kurukia kwa Magufuli. Kama ni 'kufa wafe na Lowassa, kama ni kuzikwa wazikwe naye na kama ni kufufuka wafufuke naye'. Umeelewa sasa?
 
Mtoa uzi Fani za watu hizo! Hata wewe jaribu uone kama hutapamba front page!
Fani ya unbalanced stories. Waendelee na Lowassa hadi mwisho. Kama ni kufa wafe naye na kama ni kufufuka wafufuke naye. Kwa nini wamtupe sasa? Waache unafiki.
 
Hujaelewa? Nimeandika kiswahili. Hujui lugha ya Kiswahili. Waandishe waendelee kumpamba Lowassa kama walivyofanya awali, waache unafiki wa kurukia kwa Magufuli. Kama ni 'kufa wafe na Lowassa, kama ni kuzikwa wazikwe naye na kama ni kufufuka wafufuke naye'. Umeelewa sasa?
Wanasoma alama za nyakati..ni njaa tu ndio sababu
 
Mkuu hao wanapata nguvu kutoka kwenu nyie wateja maana kama mgekua hamnunui hizo habari zao wasingekuwa busy na uandishi!
Tatizo ni kuwa tulikuwa tunalishwa mataputapu kwa lazima. Karibu vyombo vyote vya habari ilikuwa ni Lowassa. Kulikuwa hakuna pa kukimbilia. Sasa leo hii eti Magufuli kama habari, waendelee na Lowassa wao.
 
What is so special there!!!! Mchuano umeshaisha na safari ya EL imeishia hapo, waandishi watuletee habari mpya. Hivi unaweza kuandika habari ya Kunyongwa kwa Saddam Hussein leo watu wakawainterested?
 
Ni aibu sana kwa vyombo km Clouds media na watangazaji wao kina Ephraim Kibonde, huyu bwana alitegemea walau aambulie hata ukuu wa wilaya....

Habari Corporations nao mwisho wao Umefika, walifanikisha kumuingiza madarakani JK 2005, lakini mwaka huu wameangukia pua!
 
Back
Top Bottom