Kwani kumchagua mtu anayetafuta urais kwa udi na uvumba ndiyo kuna uhakika wa chakula. Maana yake ni kuwa waandishi wa habari wa magazeti ya Tanzania walikuwa wanaiuza nchi kama chief wa zama za kale alivyouza ardhi kwa wakoloni. Hovyo kabisa hawa waandishi wa Tanzania. Hawana kabisa uzalendo. Walitakiwa kufuata misingi ya taalauma zao bila upendeleo. Walitakiwa waandike mazuri na mabaya ya kila mtia nia. Wao wakampamba tu Lowassa. Sasa ndiyo wanajifanya kusema eti wanasiasa wajifuze kuacha kutafuta urais kwa mbwembe. Hizo mbwembwe tungezijuaje kama siyo uka-janja wa wanahabari kuandika habari za upendeleo.Wanasoma alama za nyakati..ni njaa tu ndio sababu
Walisemaje hao wasakatonge REDET ya dr. nani sijui.Ha ha ha kura za maoni za redet ziliniachaga hoi sana
Basi kama Clouds Media na Kibonde wao walimbeba Lowassa waendelee naye. 'Wafe naye na wazike naya au wafufuke naye'.Ni aibu sana kwa vyombo km Clouds media na watangazaji wao kina Ephraim Kibonde, huyu bwana alitegemea walau aambulie hata ukuu wa wilaya....
Habari Corporations nao mwisho wao Umefika, walifanikisha kumuingiza madarakani JK 2005, lakini mwaka huu wameangukia pua!
Walisema hivyo hivyo kwa Lowassa. Sasa wameipta aibu yao. Ukichagua endelea, acha ukigeugeu kama kinyonga. Watampamba Magufuli, Magogoni anaingia cdm na UKAWA kwa ujumla.Magufuli ni zaidi ya mafuriko
Basi kama Clouds Media na Kibonde wao walimbeba Lowassa waendelee naye. 'Wafe naye na wazike naya au wafufuke naye'.
Nani aliyesema kuwa habari nzuri zilikuwa kwa Lowassa tu, na siyo watia nia wengine?Habari sio lazima iwe mbaya tu,, hata nzuri ni habari!
Imekula kwao. Waendelee naye sasa hadi mwisho. Kama ni 'kuugua waugue naye, kama kufa wafe naye, kama ni kuzikwa wazikwe naye na kama ni kufufuka wafufuke naye'.Walistukia kuwa lolote laweza kutokea waksmuuzia Lowassa na Rostam 75% ya hisa za Clouds media
Waendelee naye kwa kuwa walichagua kumbela Lowassa pekee.What is so special there!!!! Mchuano umeshaisha na safari ya EL imeishia hapo, waandishi watuletee habari mpya. Hivi unaweza kuandika habari ya Kunyongwa kwa Saddam Hussein leo watu wakawainterested?
Hawa ni kuwapa za uso, hawana maana kabisa. Wanaiuza nchi yetu kwa vipande vya fedha. Ndiyo wasimwache waendelee naye.Wakati lowassa alipokuwa na issue ya richmond walimsema na kumlaani lakin baada ya kununulika kwenye mbio za urais walimpamba kwa habari positive kana kwamba alikuwa hana negatives na kulikuwa hakuna wagombea wengine, shame on you mtanzania, mwananchi, channel ten, clouds, rai, raia mwema et al. Tafadhali msimuache njian endeleeni naye. Oohh nilisahau pengine sasa mtaanza andika mabaya ya serikali na magufuli sabab tu ya hasira???. Rudini kwenye misingi isiyodhalilisha taaluma ya uandishi wa habari
You are missing a point. Lowassa hakuwa mtia nia pekee. Kwa nini walimpendelea yeye tu. Waendelee naye tu.Ultaka wakuandike wewe
Siyo hivyo. Wauze nchi kwa maslahi yao binafsi. Waendelee naye sasa.Mtoa mada hujui kuwa kuwa "mkono mtupu haulambwi"
Hatishi wala nini, ni mwepesi, kama white elephant.Umetishaaa kama Ebola