Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Lowassa anapendelewa na Vyombo vya Habari?

Ndugu ungekuwa mfanyabiashara ungejua kwa nini EL alibebwa. EL ni biashara inajiuza yenyewe sokoni. Headline ya EL inauza.
Ndiyo maana nimesema vyombo vya habari viendelee kuwa naye Lowassa. Kama "kuumia waumie naye, kuugua waugue naye, kufa wafe naye,kuzikwa wazikwe naye na kufufuka wafufuke naye"
 
Just vent your pressure for the sake of deflating yourself to zero effect! Huko tutokako Magufuli Wako hakuwa habari, but the opposite was the case for Lowassa, upende usipende na ndio kilichitokea, sasa hali imebadilika; JPM sasa Ni ndio habari ya mujini tupende tusipende huo ndio ukweli wa kwisha, sasa tunakushangaa wewe kujitia ukakasi na vijembe kibao kama JK eti kisa JPM kaandikwa! Why are you trying to "gag" us, plz do not underrate our intellect?! Na kwa mandate gani uliyokuwa nayo mpaka tugwaye?! Hii ni "fourth estate"; yaani Mhimili wa Nne; hautishwagi muzee! Usijiumize buree.
Acha uwongo. Kwa nini hamkuandika balanced stories. Nani alikwambia kuwa habari ni za kumpamba tu na upendeleo? Kwanini mfanye kazi kama maafisa habari wa Lowassa? Watia nia wengine walipaswa kuwa covered pia.
 
Pamoja na kuhabarisha, lazima waandike habari inayopendwa na hadhira /wasomaji. Ili km radio isikilizwe, km ni TV isikilizwe na kuangaliwa km ni gazeti lisomwe. Sasa uandike gazeti wakati hakuna mtu wa kulisoma? M-walaumu kidogo.
Nani aliyekwambia kuwa watia nia wengine walikuwa hawapendwi? Mlifundishwa kuandika habari za kuegemea upande mmoja. Mliajiriwa na Lowassa kama maafisa habari wake? Sasa muendelee naye. Kama "kufa mfe naye na kama ni kuzikwa mzikwe naye na kama ni kufufuka mfufuke naye"
 
upepo umebadilika habari ya lowasa imeisha imeanza ya magufuli. na pia vyombo vya habari vipo kwa ajili ya kusambaza habari zinazoijenga jamii sasa unataka vianze kumzomea lowasa ndio ujue bado vitaendelea kuandika habaria zake? kama ndivyo kwa kweli utangoja sana vyombo vya habari vitaendelea kuandika habari za lowasa pale zitakapokuwa zinahitajika kuwafikia wananchi
 
waandishi na wana habari, wa kwetu hapa wanasaka Tonge, nawasii sana kwa sasa waachane na siasa na waandike HBR za uchumi wa nchi na maendeleo yetu, waachane na kujipendekeza kwenye siasa:cheer2:
 
Mimi nadhani tuwe realistic vyombo vya habari ni biashara na kwa wakati wa kusaka udhamini lowassa alikuwa hot ndo maana akawa anaandikwa na magazeti yaliuzwa sasa ni magufuli lazima wamwandike ili wauze magazeti sasa wasipouza magazeti wataendeshaje hivyo vyombo vya habari vilevile hata redio na televisheni kumbukeni matangazo mengine yalikuwa yanalipiwa
 
Biashara ya kuuza nchi?
 
upepo umebadilika habari ya lowasa imeisha imeanza ya magufuli. na pia vyombo vya habari vipo kwa ajili ya kusambaza habari zinazoijenga jamii sasa unataka vianze kumzomea lowasa ndio ujue bado vitaendelea kuandika habaria zake? kama ndivyo kwa kweli utangoja sana vyombo vya habari vitaendelea kuandika habari za lowasa pale zitakapokuwa zinahitajika kuwafikia wananchi
Vyombo vya habari vinatakiwa kuandika balanced stories. Na kama kwa unafiki wao watahamia kwa Magufuli basi waendelee naye hata kama ataangukia pua kwa UKAWA.
 
me nimemshangaa kibonde jana kwenye jahazi alikuwa anajikanyaga kanyaga eti anamsifia Dr.Magufuli,moja ya watangazaji ambao vichwa vyao sio vizuri hapa Bongo huyu jamaa ndo anaongoza huwa hajielewi kabisa pamoja na umri kumtupa mkono.
 
Ni wakati wa kuwasema hadharani vyombo vya habari vya Tz. Acheni unafiki, mlichagua kumbeba Lowassa, sasa kama ni 'kufa kufeni naye kama ni kuzikwa zikweni naye na kama ni kufufuka fufukeni naye'. Acheni unafiki wa kuhamishia habari zenu kwa Magufuli kwa sababu kama hakuwa wa maana kwenu kwa nini sasa hivi mumuone wa maana badala ya Lowassa?.

Vyombo karibia vyombe vya habari kuanzia magazeti na TV, mlimbeba sana Lowassa. Ingawa wanahabari walilamikiwa kuwalisha wananchi habari nyingi za kumpendelea Lowassa huku wakiacha habari zingine zenye umuhimu kwa taifa, mliweka pamba masikioni. Kama ni kwa mapenzi yenu ya dhati kwa Lowassa au ilikuwa ni nguvu ya pesa au u-opportunist wenu basi endeleeni kugandamana naye. Ilikuwa ni jambo ka kushangaza magazeti kama Mwanaanchi, ITVii, Tanzania wa Daima, na magazeti ya Habarii Corp na nk. Kumpamba Lowassa kana kwamba EL amekuwa lulu au amegeuka malaika.

Na kama kwa unafiki wao wanahabari wanamgeukia Magufuli pekee basi waendelee hivyo hivyo hata kama ataangukia pua kwa CDM na UKAWA kwa ujumla wake. Sijui kwa nini wanahabari wanaamua kwa makusudi kuacha kutumia taaluma zao vizuri na badala yake wanaongozwa na mihemuko na maslahi yao binafsi. Sasa wakome kwa tabia zao za kikajanja na waachane kabisa na Magufuli bali wafe, wazikwe na wafufuke na Lowassa.

Na ndio maana bado hata wewe unamwandika Lowasa. LOWASA ni habari na si kwamba haandikwi labda husomo. Jitambue na kujiongeza acha unafiki kuwaita watu wanafiki. Unafiki wa kwako lazima uende motoni:whoo::A S-cry:
 
Wahariri na waandishi wao,washabiki,wakereketwa,wapenzi,na pia wasaka tonge wa Lowasa wote Nywiiiiiii!!.
 
Wakati lowassa alipokuwa na issue ya richmond walimsema na kumlaani lakin baada ya kununulika kwenye mbio za urais walimpamba kwa habari positive kana kwamba alikuwa hana negatives na kulikuwa hakuna wagombea wengine, shame on you mtanzania, mwananchi, channel ten, clouds, rai, raia mwema et al. Tafadhali msimuache njian endeleeni naye. Oohh nilisahau pengine sasa mtaanza andika mabaya ya serikali na magufuli sabab tu ya hasira???. Rudini kwenye misingi isiyodhalilisha taaluma ya uandishi wa habari

ninyi mmemng'ang'ania lowasa wa rich mond na huku baada tu ya kujiudhuru uffisadi bado uliendelea hadi dk za mwisho ( ex ESCROW, pesa za mabehewa feki, migodini na mabenk ) lakin mmerogwa na kuaminishwa kuwa lowasa ni fisadi. ccm wote ni mafisadi tu mmezidiana academics ya wizi tu kama ilivyo kwenye elimu ( LA saba, form four,certificate, form six, diploma, degree, Masters PhD na professor) sitaki kuamini kuwa PM afanye ufisadi presdnt asiusike may be hakua mtendaji. acheni kumchafua MTU kwa njaa zenu. wrote wanaotetea ccm in njaa na roho za wizi na ofisivza umma
 
Acha uwongo. Kwa nini hamkuandika balanced stories. Nani alikwambia kuwa habari ni za kumpamba tu na upendeleo? Kwanini mfanye kazi kama maafisa habari wa Lowassa? Watia nia wengine walipaswa kuwa covered pia.

"Huko tutokako Magufuli Wako hakuwa habari, but the opposite was the case for Lowassa, upende usipende na ndio kilichitokea, sasa hali imebadilika; JPM sasa Ni ndio habari ya mujini tupende tusipende huo ndio ukweli wa maisha"!!

Hilo hapo juu ndio jibu lako kwa sababu "Asiyejua maana; huwa haambiwi maana" dogo!! ni sawa kupigia Mbuzi Bongo fleva ukitegemea atacheza ipasavyo! Bs
 
Hilo jibu lako ataliamini mtu asiyefahamu kuwa waandishi wa habari siyo public relation officers wa wanasiasa. Vyombo vya habri vinapaswa kuandika balanced stories na hivyo wagombea wengine kama Magufuri na wengine walipaswa kuwa covered. Hata alivyoandikwa Lowassa ilikuwa kumpamba tu mapungufu yake hayakuandikwa kwa sababu ya U-kanjanja wa vyombo vya habari ikiwemo Mwanaanchi, Tanzania wa Daima, vyombo vya Habarii Corp, Mawioo, ITVii n.k. Ndiyo maana nasema kama walichagua kumpamba Lowassa waendelee tu hadi "wafe naye au wafufuke naye".
 
Narudia "Asiyejua maana; huwa haambiwi maana"; kama ni feature article sawa; katika hali ya kawaida na kama ulivyosema mwandishi sio maPR men wa mwanasiasa au mtu mwingine for that matter! kwa hiyo Impact/mguso wa habari ni kitu cha msingi sana, unaweza kuita ni commercialisim/commercialisation ya habari; lakini nani anataka kulishwa habari zisizo na msismuko; boring news; umuandikke mwanasiasa mzembe; goigoi, hana mvuto, habari yake haileti msisimuko wowote, umuandike mtu amekaririshwa itikadi tu na mipasho ya Khadija Kopa; for what? who cares?? waite waandishi "makanjajanja" but that is only to satisfy your blotted or deflated ego; whichever suits your psych!

Mukulu; kama ulitaka Magufuli aandikwe sana mbona humtaji Dr Kamani; au Dr Kalokola au Monica Mbega na Dr. Mwele Malecela among the pac of 42! au hao hawakustahili publicity? why the double standards?!

Tulia; sasa hivi Magufuli ni habari ya mujini; ataandikwa mpaka tena utajisikia vibaya!!!!; thats the irony of life! But remember press; the fourth estate as I know it; can make or break a person read Mr politician! be warned; do not celebrate to early!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Nimeshasema wazi kuwa vyombo vya habari vilitakiwa kuandika balanced stories kwa watiania wote siyo kuegemea kwa Lowassa tena kwa kuandika mazuri tu bila kuandika mapungufu yake. Nimeshangaa sasa vyombo vya habari kwa unafiki wao na kuongozwa na ubinafsi wao wanahamia kwa Magufuli. Ujumbe wangu ni kwamba waachane na Magufuli kabisa kama walivyomwacha tangu awali yeye na wagombea wengine. "Waendelee na Lowassa waliyemwona wa maana. Kama ni "kufa wafe naye na kama ni kufufuka wafufuke naye".

Angalia kwenye uzi nimeandika haya "Na kama kwa unafiki wao wanahabari wanamgeukia Magufuli pekee basi waendelee hivyo hivyo hata kama ataangukia pua kwa CDM na UKAWA kwa ujumla wake. Sijui kwa nini wanahabari wanaamua kwa makusudi kuacha kutumia taaluma zao vizuri na badala yake wanaongozwa na mihemuko na maslahi yao binafsi. Sasa wakome kwa tabia zao za kikajanja na waachane kabisa na Magufuli bali wafe, wazikwe na wafufuke na Lowassa".
 
Wakuu, Salama.
Leo ndio nineamini kua UKAWA ndio habari ya mjini na hii imejidhihirisha leo.
Ninasema hivyo kwa sababu leo Magufuli ndio anaenda kuchukua fomu NEC lakini cha kushangaza magazeti yote ya leo Habari kuu ni Lowasa, Dr Slaa, Prof Lipumba = UKAWA.
Cha kushangaza zaidi Gazeti mahiri kwa kutoa habari za CCM (UHURU) limetoka na habari inayomhusu Prof. Lipumba (UKAWA) habari ya mgombea wao Magufuli imewekwa kwenye nafasi ambayo ingefaa zaidi kwa Mgombea wa Udiwani au Ubunge kua anaenda kuchukua Fomu.
Nitoe tu shukrani zangu kwa Wahariri wa Magazeti ya CCM & Co. kwa kitendo chao cha kuipa nguvu UKAWA kwani mnadhani mnavyoandika propaganda chafu juu ya UKAWA na Viongozi wake mkijua mnaidhoofisha imekula kwenu! Sana mnazidi kuiweka juu na kuifanya ieendelee kuwa midomoni na akilini mwa wananchi.
Tunashukuru sana kwa hilo.
 
Back
Top Bottom