Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

​kuna tatizo hapo.....kupeana mikono ilikuwa kuwaminisha umma kwamba tupo pamoja
 
Lowassa njia nyeupe 2015

ya kwenda wapi?. Ujerumani kutibiwa?. Kama ni magogoni apasahau kabisa kwani hatutaki yatukute ya zambia kuchagua wazee wasiomaliza mihula yao kwa sababu ya uzee. Nina imani hata ubunge hagombei tena.
 
mpinga shetani usiupotoshe umma. Lowassa alitoa udhuru na pale walipokuwa wakisalimiana na mheshimiwa rais alikuwa akimuomba udhuru ili awahi ndege asafiri na kamati ya bunge. sasa mzushi wewe hebu tuambie kama alikuambia kuwa amegoma kula chakula na mheshimiwa rais
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.
 
Lowasa atawavika luteni usu 2015.Hivyo yupo busy kwenye maandalizi
 
which is nonsense particularly

  • an earlier departure?
  • skipping lunch?
  • protocol abuse?
  • or interpretation of the whole situation

you need to specifically point out the "nonsense" your referring to,

I Think The Fifth Option Should Have Been ALL The Above!
 
Acheni story za kupika, moja ya sifa kubwa za Muungwana huyu wa Monduli ni unyenyekevu na heshima kwa kila mtu seuze kwa Head of State!!!Mh
NGOYAI aliomba ushuru wa kuwahi safari ya kamati yake ya Ulinzi ya Bunge kwani hata kuja kwake tu kulionesha ustaarabu wake wa kuzaliwa.Hata Sita na Mwakyembe ukimaliza sifa moja wapo ya Mh
Lowassa basi hawawez kuibishia hii ya Uungwana na kujishusha mbele ya.hadhira. Wa Tz wanasubiri kupiga kura sio kampuni 2015 maana wanaemuhitaji wanaojua.
 
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.

Vipi mkuu kwanini hukuchukua nafasi ukaenda wewe!!
 
Mbona sioni tatizo hapo, kwanza hawakumpa mgawo wa escrow!

Kweli humu kwenye JF kuna watu wa ajbu, hivi kweli hujui kuwa amiri jeshi na mkuu wa nchi ndiye anapaswa na ni lazima awe mtu wa kWANZA kutoka kwenye sherehe yoyote ya KITAIFA? Tuna kazi ya kuwaelimisha wenzetu. Mh Lowassa kutoka, kama kweli alitoka, kwenye sherehe hiyo, basi kuna kitu ........
 
mpinga shetani usiupotoshe umma. Lowassa alitoa udhuru na pale walipokuwa wakisalimiana na mheshimiwa rais alikuwa akimuomba udhuru ili awahi ndege asafiri na kamati ya bunge. sasa mzushi wewe hebu tuambie kama alikuambia kuwa amegoma kula chakula na mheshimiwa rais

Awahi ndege kwenda wapi? Maana jioni hiyo alikuwa Nyumbani kwake Monduli. Na hata siku ya pili, jaani jumapili alikuwa huko. Labda kama kuna ndege ya kutoka Monduli TMA hadi Monduli kwa Lowassa
 
Acheni story za kupika, moja ya sifa kubwa za Muungwana huyu wa Monduli ni unyenyekevu na heshima kwa kila mtu seuze kwa Head of State!!!Mh
NGOYAI aliomba ushuru wa kuwahi safari ya kamati yake ya Ulinzi ya Bunge kwani hata kuja kwake tu kulionesha ustaarabu wake wa kuzaliwa.Hata Sita na Mwakyembe ukimaliza sifa moja wapo ya Mh
Lowassa basi hawawez kuibishia hii ya Uungwana na kujishusha mbele ya.hadhira. Wa Tz wanasubiri kupiga kura sio kampuni 2015 maana wanaemuhitaji wanaojua.
Hebu soma tena ulichokiandika Halafu ujiangalie kwenye kioo
 
Back
Top Bottom