Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

mpinga shetani

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2010
Posts
3,234
Reaction score
960
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.
 
Mambo yamepamba moto sasa.

Tutashuhudia mengi.
 
nonsense
 
atakuwa alikuwa anaumwa mkuu Lowasa bado ana ndoto za kuja kuwa raisi wa tanzania
 
which is nonsense particularly

  • an earlier departure?
  • skipping lunch?
  • protocol abuse?
  • or interpretation of the whole situation

you need to specifically point out the "nonsense" your referring to,

acheni kutunga stori za kijinga...kama hauna kitu cha kufanya si afadhali uende ukapige hata ramli?
 
Alikua Na majukumu mengine...
 
Attachments

  • ImageUploadedByJamiiForums1419163841.384970.jpg
    ImageUploadedByJamiiForums1419163841.384970.jpg
    50.4 KB · Views: 2,052
kitendo cha kumpoison kinaumiza saaana afanye hvyo. kisasi ni haki yake
 
Back
Top Bottom