Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

Acheni story za kupika, moja ya sifa kubwa za Muungwana huyu wa Monduli ni unyenyekevu na heshima kwa kila mtu seuze kwa Head of State!!!Mh
NGOYAI aliomba ushuru wa kuwahi safari ya kamati yake ya Ulinzi ya Bunge kwani hata kuja kwake tu kulionesha ustaarabu wake wa kuzaliwa.Hata Sita na Mwakyembe ukimaliza sifa moja wapo ya Mh
Lowassa basi hawawez kuibishia hii ya Uungwana na kujishusha mbele ya.hadhira. Wa Tz wanasubiri kupiga kura sio kampuni 2015 maana wanaemuhitaji wanaojua.

Hhaaaaaaaaa!!!!!!!!,
Wanaomhitaji ni kama wewe tu na sio wengine.
Yeye na kikwete ni marafiki hivyo waliamua kuwa marafiki kwa kuwa wanashabihiana..sasa kama ndivyo hata huyu hatufai watanzania maana Naye ni kama rafiki yake ambae nchi imemshinda na chama chake pia kimemshinda.:thumbdown:
 
Alikuwa anaumwa tumbo la kuhara huyo. Aliwahi toilet
 
Kumbe hawa magamba balaaa et..wanakulana wenyewe kwa wenyewe..
 
Kweli humu kwenye JF kuna watu wa ajbu, hivi kweli hujui kuwa amiri jeshi na mkuu wa nchi ndiye anapaswa na ni lazima awe mtu wa kWANZA kutoka kwenye sherehe yoyote ya KITAIFA? Tuna kazi ya kuwaelimisha wenzetu. Mh Lowassa kutoka, kama kweli alitoka, kwenye sherehe hiyo, basi kuna kitu ........
Tuaambiwa Lowassa ndo katoka, huyo amiri jeshi mkuu kachukua hatua gani?
Changanya na za kwako!
 
mpinga shetani usiupotoshe umma. Lowassa alitoa udhuru na pale walipokuwa wakisalimiana na mheshimiwa rais alikuwa akimuomba udhuru ili awahi ndege asafiri na kamati ya bunge. sasa mzushi wewe hebu tuambie kama alikuambia kuwa amegoma kula chakula na mheshimiwa rais
Unless you were that close to overheard the convo
 
Mtu yupo hoi kiafya lakini wapi anawaza urais tu...au ndo nataka nife nikiwa rais?...
 
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.
Amiri jeshi mkuu amejijengea dharau hata kwa marafiki zake ambao hawakukutana mitaani.
 
which is nonsense particularly

  • an earlier departure?
  • skipping lunch?
  • protocol abuse?
  • or interpretation of the whole situation

you need to specifically point out the "nonsense" your referring to,

Nonsense for the MP to act as special one than a President.how dare.............?!for what.....?
 
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.

Masaburi at work
 
Wana malengo ya kumchafua rais wetu ajaye lakini wanajikuta wakimpandisha chat tu! Viva lowassa!
 
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.

kama aliomba ruhusa je? amaulitaka na ruhusa itangazwe kwamfano?
 
Hata Bwana Yesu mlisema siyo mwana wa Mungu lakini mwishowe mkakiri kwa vinywa vyenu wenyewe kuwa yamkini alikuwa mwana wa Mungu
 
Back
Top Bottom