Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

Lowassa agoma kushiriki chakula na Kikwete

Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.

Hiyo sio habari; ni umbea mtupu!! kwani ni lazima EL ashiriki luncheon? unajuaje kama hakuwa na udhuru muhimu na hivyo kumpa taarifa JK pale walipoongea kwa karibu sana wakiwa wameshikana mikono!? kumbuka wawili hao "hawakukutana barabarani" wana channels zao mahususi kwa ajili ya mawasiliano baina yao!!

Jamani there are more important issues za kujadili sio haya mambo ya hisia na tetesi kila siku; mara leo hajampa mkono! jana hakumtazama usoni! stop all this rubbish.

Najua "binadamu hataishi kwa mkate tu! lakini at this stage katika uhai wa taifa letu habe tuyape kipaumbele mambo ya msingi zaidi kama tunalitakia taifa letu "a new beggining; Mwanzo mpya" na ustawi endelevu; kwa mfano mambo kama haya hapa chini: yanahitaji attention yetu kuliko kumjadili JK na swahiba wake EL!!!!
1. Kuna maprofesa wanapekecha feza za umma na kusimama hadharani na kujiita eti wao ni "Majembe"!!
2. Kuna kina Hawa Ghasia huko TAMISEMI wanavuruga chaguzi za msingi katika utawala wa nchi kwa manufaa ya CCM!!
3. Mgao wa umeme nchi nzima pasi na maelezo! Michango ya kibabe ya maabara za shule lakini serikali inakataa mabilioni ya Tegeta Escrow eti sio feza zake!!;
4. MSD/ hospitali nchini hakuna dawa walala hoi wanakufa kwa kukosa "septrin na Mseto" sio kwenda John Hopkins!
5. Kuna watanzania bado wanakunya na kuoga maji kwatika bwawa lilelile na ng'ombe na mbwa na wanyama pori!
6. Mama zetu wazazi wanalala sakafuni au kubana kwenye kitanda cha futi 3 "mzungu wa 6"!!
7. Kubwa zaidi kuna "katiba ya Vijisenti na Sitta" inayolenga kulinda ufisadi, rushwa na ujangili nchi hii!!; and the litany is very very long.

jamani; give us a break!!
 
uongo mwingine huo. yaani unataka kutuaminisha kuwa wewe ni msemaji wake na ulikuwepo katika nyendo zake zote. lakini mimi nikwambie tu kuwa nilikuwepo uwanja wa ndege wa kia na nilim-manifest vip mmoja dar-addis kwa ethiopian..sasa nenda ethiopian airways kachukue pax manifest yao utaona jina lake.
Awahi ndege kwenda wapi? Maana jioni hiyo alikuwa Nyumbani kwake Monduli. Na hata siku ya pili, jaani jumapili alikuwa huko. Labda kama kuna ndege ya kutoka Monduli TMA hadi Monduli kwa Lowassa
 
Huku baadhi ya magazeti ya Jumapili yakijitahidi kuweka picha ya Lowassa akisalimiana na Rais Kikwete katika chuo cha Jeshi Monduli, ukweli ni kwamba hali si shwari baina yao.
MBUNGE huyo wa Monduli alikataa kwenda kushiriki chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Jenerali Kihwelu kambini hapo mara baada ya rais kuwatunuku Kamisheni maafisa 171 wa jeshi.
Tena kinyume na taratibu, Lowassa aliondoka jeshini hapo kabla ya Kikwete. Kawaida ni hadi Amiri mkuu aondoke ndipo viongozi wengine waruhusiwe.
Membe a.k.a joka la mdmu na team yako lowasa hamumuwez mtajnyea sana
 
Lowasa na Jk hawajakutana barabaran..ata apson mwangonda ex tiss drector alishanukuliwa na gazet moja aksema namnukuu 'wanaangaika sana ila edward hawamuwez;
 
Ni ombwe la uongozi ndani ya nchi kumuongelea Lowasa katika zama hizi.
 
Back
Top Bottom