omary mwene
JF-Expert Member
- Nov 6, 2013
- 293
- 55
siku ya boda boda uku na Kofia ya Ccm Lowasa bhana uku Arusha aliambulia zero ila uko Dar amewakamata mambulula kibao
siku zote nabii hakubaliki kwao,kwahi ucjali kwa hilo.
siku ya boda boda uku na Kofia ya Ccm Lowasa bhana uku Arusha aliambulia zero ila uko Dar amewakamata mambulula kibao
Ina maana huyo Lowasa ndo ameshapitishwa na ccm kuwa mgombea wake..? Vpi kuhusu Sitta.. Membe.. Migiro.. Makamba.. Nchimbi.. Wassira na wengineo..?
Ina maana huyo Lowasa ndo ameshapitishwa na ccm kuwa mgombea wake..? Vpi kuhusu Sitta.. Membe.. Migiro.. Makamba.. Nchimbi.. Wassira na wengineo..?
kwani ccm wao hawamipendi,subir utaona,ccm hawatakaa wajaribu sumu kwa kuonja,lowassa asipopitishwa na ccm kinapogezwa kweny ramani za dunia ,we subir utaona!si unajuwa historia haishiwi wino,we jiandae kutugawia kura yako
Sio hiyo tu, hela ya serikali ilyotumika kununulia share Voda ilikuwa ya Sirikali, Leo share zile zinauzwa nusu yake kwa takribani ya Tsh 242 Billion. Hela zote hizo kwa ajili ya uchaguzi. Fikiria ndugu.Kibaya kabisa ni pesa inayotumika kwenye kampeni hizi chafu ni zetu wenyewe.. Tanesco wanatakiwa wamlipe huyu jamaa fidia kwa kukatisha mkataba na kampuni yake na Rostam.. Halafu mijitu inafurahia tu hapa na kupongeza..
Huko kupendeka kwake unakuona wewe tu na wenzako wa aina yako (mliopewa vi-pesa ili mpe promo). But rest assured kuwa project yenu imeshindwa hata kabla haijaanza kuwa implemented! Kumbukeni KIBAYA CHAJIUZA...!
Kwa hiyo mko tayari kubinya demokrasia ya wanachama wenu wa ccm ikitokea wakamkataa kumpitisha kuwa mgombea..?
Why Yellow T shirts?
Jordani alitoka vizuri, hakutolewa na mapungufu yake au issue kuwa ngumu.
Kila uzi naulizia huo umati wa bodaboda na huyu mzee ni kwamba ni harambee ama walialikwa ama ni nini?
kwanza untake radhi,mi cina chama ila naamini kwa lowassa,pili kwa hali ilivyo wanachama wa chama chake wanamkubali kwa asilimia zote,ushaidi mzuri ni uchaguzi uliofnyka kwenye chama chake
Angekuwa anakubalika kucingekuwa na misele hii tuionayo sasa.. Maana mpaka Sumaye analalamika anachezewa rafu anapopata mialiko inafutwa dakika za mwisho kwa hisani ya Lowasa & co.. Kama walivyoanza na JK 2005.. Wanaendelea kutengeneza mitandao tu.. Na wewe fokonyoko au kwa kujua au kutojua unashiriki kwenye dhambi hii..
huyu jamaa ni kiboko.cdm wakisikia jina lake kitu kinagonga chupi
Nyinyie endeleeni kumshabikia muaji hakika mtaona malipo ya ushabiki, huu jamaa lowasa nyerere mwenyewe alimfukuza kwa aibu leo nyie mnamkumbatia kwa ulafi wenu wa pesa ila historia itahukumu daima, na huyu mchawi wenu

Binafsi naona chama chenye nguvu kigoma ni nccr, ikifuatia Chadema na kisha maccm! Maana Nccr wana wabunge wa nne wa kuchaguliwa, chadema mmoja, na ccm wabunge wa 3!
Haikuwahi kutokea hata mara moja Hayati Nelson Mandela iwe kwa dhahiri ama kwa kificho kuendesha usaliti ndani ya chama chake na ikumbukwe Mandela aliikuta ANC. Hadi mauti yanamchukua alibaki loyal kwa Chama na wananchama; hakujiinua nafsi yake kwamba yeye ni maarufu kuliko chama. Kumlinganisha Zitto na Mandela ni kuvuka mipaka ya dhihaka.