Nguvu Ya CHADEMA Kigoma:Kuna Wabunge na Madiwani Wangapi Wa CHADEMA?

jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
Nasikia Zitto ana nguvu huko Kigoma na hivyo kuna wanaodai CHADEMA wasithubutu kumchukulia hatua.Je CHADEMA ina nguvu gani Kigoma?Ama ni Zitto mwenye nguvu zaidi ya CHADEMA?Kwa kawaida nguvu ya kiongozi wa chama inapimwa kutokana na ushawishi kwa wananchi na kuongeza nguvu ya chama kwa kupiga kampeni kuongeza wabunge na madiwani.

Kuna memba anaitwa maringo7kaposti hii na picha...

maringo7 said:
NAPENDA KuWASHAURI VIONGOZI WAKUU CHADEMA wasipuuzie mapokezi makubwa alioyapata mbunge wa kigoma kaskazini na kuonyesha kuwa bado anaushawishi mkubwa chamani.
kuna taarifa kubwa za kinteligensia kuwa mh zito anamtandao mkubwa katika mikoa ya kusini,kigoma,tabora,singida,t anga,shinyanga na tayari ameeanza kulobby wajumbe wa baraza kuu nahivo kama kesi yake itafika baraza kuu huenda kukaibuka mgawanyiko wa kutisha hivyo kwa busara ya chama ni bora kumvua vyeo vyote anavyoshiilia lakini si kumfukuza mh zito
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,955

Nafikiri ingekuwa vyema pia kubainisha kura za urais kila mkoa CHADEMA walizopata hiki nafikiri ndo kipimo sahihi. Maana madiwani na ubunge mara nyingi ni wangombea wa palepale na mara nyingi hawangalii chama zaidi, bali mshikaji wao. Kura za urais nafikiri ndo kipimo sahihi.
 
nkongu ndasu

JF-Expert Member
Jan 19, 2013
22,523
2,000
Binafsi naona chama chenye nguvu kigoma ni nccr, ikifuatia Chadema na kisha maccm! Maana Nccr wana wabunge wa nne wa kuchaguliwa, chadema mmoja, na ccm wabunge wa 3!
 
Mungai Msele

Senior Member
Dec 19, 2013
105
0

Chadema kigoma haina guvu vile, Hii yote unayoyasikia ni Mamluki walioko nyuma ya Hili Suala; Mbunge mmoja alafu mdai chadema ina nguvu afadhali angesema Mnyika.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
Nafikiri ingekuwa vyema pia kubainisha kura za urais kila mkoa CHADEMA walizopata hiki nafikiri ndo kipimo sahihi. Maana madiwani na ubunge mara nyingi ni wangombea wa palepale na mara nyingi hawangalii chama zaidi, bali mshikaji wao. Kura za urais nafikiri ndo kipimo sahihi.
Kura za urais siyo kipimo kwasababu mikoa ina populations tofauti,pia factor ya waliopiga kura kwenye mikoa unayotaka kucompare.Inawezekana Kigoma ilikuwa na wapiga kura wengi kuliko mikoa mingine,however hicho si kipimo cha nguvu ya chama.Nguvu ya chama ni uwakilishi.
 
2pad

JF-Expert Member
May 10, 2013
328
195
Watanzania itakua ngumu sana kuendelea kwasababu katika siasa tunashabikia sana watu kuliko sela za vyama na kwahili itakuwa ngumu sana kupata mabadiliko kwani ushabiki huu ndo huwafanya wanasiasa wanao shabikiwa kujiona miungu watu na hivyo kufanya watakavyo eti wakiguswa chama kita kitasambalatika? ujinga hapa hakuna mjadala atimuliwe ili kuonyesh nidhamu kwenye katiba basi Zito sio CHADEMA,Hata yeye alikikuta.
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,955
2,000
Kura za urais siyo kipimo kwasababu mikoa ina populations tofauti,pia factor ya waliopiga kura kwenye mikoa unayotaka kucompare.Inawezekana Kigoma ilikuwa na wapiga kura wengi kuliko mikoa mingine,however hicho si kipimo cha nguvu ya chama.Nguvu ya chama ni uwakilishi.

OK sasa kwa msingi huo CHADEMA ni popular mkoa mmoja ama miwili tu. Taja mkoa ulio na majority ya wabunge wa CHADEMA. Na pia unapotafuta usahihi wake sio kwa kuangalia wako wangapi bali kwa kuangalia mbunge/wabunge per population ya mkoa. Unaweza kuta wakati mwingine mbunge mmoja ni mwingi ki asilimia kuliko wabunge 10.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
OK sasa kwa msingi huo CHADEMA ni popular mkoa mmoja ama miwili tu. Taja mkoa ulio na majority ya wabunge wa CHADEMA. Na pia unapotafuta usahihi wake sio kwa kuangalia wako wangapi bali kwa kuangalia mbunge/wabunge per population ya mkoa. Unaweza kuta wakati mwingine mbunge mmoja ni mwingi ki asilimia kuliko wabunge 10.
hujui nguvu ya uwakilishi?Kuna wabunge wangapi Kigoma bila kujali vyama?certainly kuna chama chenye nguvu.
 
Fenento

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
320
225
Nasikia Zitto ana nguvu huko Kigoma na hivyo kuna wanaodai CHADEMA wasithubutu kumchukulia hatua.Je CHADEMA ina nguvu gani Kigoma?Ama ni Zitto mwenye nguvu zaidi ya CHADEMA?Kwa kawaida nguvu ya kiongozi wa chama inapimwa kutokana na ushawishi kwa wananchi na kuongeza nguvu ya chama kwa kupiga kampeni kuongeza wabunge na madiwani.

Kuna memba anaitwa maringo7kaposti hii na picha...

Well said, Kama ananguvu na ushawishi basi tungetarajia Kigoma kuwa na Wabunge wengi na madiwani. Ushawishi aliokuwa nao ni kuwashawishi wapiga kura wake kupigia vyama vingine na si chama chake. Let him gooooooo!
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,955
2,000
hujui nguvu ya uwakilishi?Kuna wabunge wangapi Kigoma bila kujali vyama?certainly kuna chama chenye nguvu.

Chama chenye wawakilishi wangu kule nafikiri ni NCCR, CCM kisha CHADEMA. Kwa staili hiyo hiyo, naomba pia ututajie mikoa 3 tu, inayoongoza kuwa na wabunge wengi wa upinzani. Hii ni ili mjadala uwe wenye afya.
 
mwa 4

JF-Expert Member
Oct 8, 2013
3,392
1,250
Binafsi naona chama chenye nguvu kigoma ni nccr, ikifuatia Chadema na kisha maccm! Maana Nccr wana wabunge wa nne wa kuchaguliwa, chadema mmoja, na ccm wabunge wa 3!

kumbe chadema kuwa na mbunge mmoja ndiyo kiwe cha pili we mzima kweli.
 
jmushi1

JF-Expert Member
Nov 2, 2007
23,275
2,000
Chama chenye wawakilishi wangu kule nafikiri ni NCCR, CCM kisha CHADEMA. Kwa staili hiyo hiyo, naomba pia ututajie mikoa 3 tu, inayoongoza kuwa na wabunge wengi wa upinzani. Hii ni ili mjadala uwe wenye afya.
Sizungumzii wabunge wa upinzani,nazungumzia wa chadema vs vyama vingine,hoja hapa ni nguvu ya chama.
 
controler

JF-Expert Member
Jul 3, 2012
1,560
1,500
Chama chenye wawakilishi wangu kule nafikiri ni NCCR, CCM kisha CHADEMA. Kwa staili hiyo hiyo, naomba pia ututajie mikoa 3 tu, inayoongoza kuwa na wabunge wengi wa upinzani. Hii ni ili mjadala uwe wenye afya.

Tunazungumzia chadema nadhan so kama unataka vyama vyote unaweza anzisha thread yake tu. Hata mkoa wa mwanza una chadema wengi kuliko kigoma
 
Mungi

JF Gold Member
Sep 23, 2010
16,979
2,000
Mkutano wa Zitto leo Kigoma zilikodiwa pikipiki zaidi ya 300 kwa ujira wa elfu 5 na elfu 10!
Mkutano ulitangazwa kwa nguvu sana, ukiratibiwa na Katibu wa CUF Kigoma na Mwenyekiti wa ccm kigoma. Huwezi kupima nguvu ya chama au ya mtu kwa kununua watu!

Zitto bila chadema ni uwongo. Ukitaka kujua Zitto anajaribu kujenga taswira fulani kwa chama, ziangalie mabango ya leo. Amewaasa watu wasitukane uongozi wa juu kama walivyofanya kwa ujio wa Dr. Slaa, ambapo kwa ujio wa Dr aliwaasa watu mabango kumtukana Dr.

Zitto kama ana nguvu ikawaje kwanza ashinde kwa mbinde? Zitto kama ana nguvu Kigoma ikawaje chama kiwe na diwani moja kigoma kaskazini? Zitto kama ana nguvu Kigoma ikawaje chama kiwe na mbunge moja?

Zitto ni mzigo
 
Diwani mmoja tu Kigoma?Duh!
 
MkamaP

JF-Expert Member
Jan 27, 2007
7,955
2,000
Sizungumzii wabunge wa upinzani,nazungumzia wa chadema vs vyama vingine,hoja hapa ni nguvu ya chama.

Nakubali kwa hoja yako ni kuwa CHADEMA haina nguvu, sasa kwa kwenda na hoja yako hiyo ni kuwa CHADEMA haina nguvu sehemu yoyote ile Tanzania, tofauti na Arusha na kidogo Moshi. Ni wazi kigoma CHADEMA haina nguvu kama kulivyo kwingine, kwa hoja hii.
Binafsi nafikiri mnge stick kuangalia ktk kura za urais CHADEMA ilipata kiasi gani, hicho nikipimo kizuri kupima inakubalika kiaje ktk mkoa husika.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom