Lowassa afunika dar

Lowassa afunika dar

Loyal maana yake nini? We need a critical mind not a loyal mind. Hata kama Mandela na ZZK hawafanani then do not use wrong inferences to justify you bullshit arguments.
 
Kibaya kabisa ni pesa inayotumika kwenye kampeni hizi chafu ni zetu wenyewe.. Tanesco wanatakiwa wamlipe huyu jamaa fidia kwa kukatisha mkataba na kampuni yake na Rostam.. Halafu mijitu inafurahia tu hapa na kupongeza..
 
Nani alisikilize Kazi hilo? Lambda wahuni km hao ambao pia ni wezi wenzake ila yeye lowasa anawazidi kwa kiwango tu. Wkt lowasa anawaibia waltz kwa kushirikiana na mapacha wake kiwete na rostam tsh. Million 152 Kila Usiku kupitia kampuni lao la mfukoni Richmond basi rafili zake aliowakusanya Leo walikamatwa na kutiwa Kila miaka kadhaa kwa kuiba kuku au vitumbua. Mbwembwe zote hizo za lowasa ni baada ya kuwaibia watz.......waltz km vile tumerogwa
 
Mkikosaga hoja ni kutukana tu,shauri lenu!!Lowassa atawapakata sna,babu yenu slaa magonjwa ya uzeeni yameshaanza kumwandama,hujaona udenda umeenza kumdondoka
 
tuwekee ushaidi uwache kulialia kama mwali,hamjaona huyo babu yenu anaiba wake za watu,Lowassa atawakamuwa chadema mpaka mnyoshe mikono juu
 
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.

Hawa ni Wale wavunja sheria wakubwa sana , hawa ni wale wasiojua utawala wa sheria, hawa ndio wanaokodishwa kwa shs 2000 kwa trip.
 
Mkikosaga hoja ni kutukana tu,shauri lenu!!Lowassa atawapakata sna,babu yenu slaa magonjwa ya uzeeni yameshaanza kumwandama,hujaona udenda umeenza kumdondoka

Mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa.. Sasa wewe nikikuambia akili yako na hili jina la id yako vnaendana utasema tusi..! Ona ulichoandika sasa.. Kweli wewe ni fokonyoko..
 
Imedhihirika leo kwamba mh Edward Lowassa sio tu kwamba anapendwa bali pia ni tegemeo kubwa kwa watanzania wanyonge na wa hali ya chini.
Umati wa watu ambao haujawahi kuonekana pamoja na waendesha bodaboda wapatao elfu zaidi ya elfu ishiriki wamejumuika nae leo wakati alipokaribishwa kuwa mgeni rasmi wa chama chao.

Rais wa awamu ya 5,kama tu ccm itaamuwa kumpa nafasi hiyo,atakayepinga na basi ajiandae kupiga kura 2015,labda tu itokee kuwa tunahitaji Rais mwanamke kama USA,lakini EL bado ana-nafasi kubwa sana ya kuiongoza nchi hii.
na kama akipata nafasi
basi waziri mkuu atakuwa Dr Magufuli lazima nchi isonge tu
 
siku ya boda boda uku na Kofia ya Ccm Lowasa bhana uku Arusha aliambulia zero ila uko Dar amewakamata mambulula kibao
 
tuwekee ushaidi uwache kulialia kama mwali,hamjaona huyo babu yenu anaiba wake za watu,Lowassa atawakamuwa chadema mpaka mnyoshe mikono juu

Ukiona wanawake wanampenda ujue ana mvuto na ni mchapakazi
 
Mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa.. Sasa wewe nikikuambia akili yako na hili jina la id yako vnaendana utasema tusi..! Ona ulichoandika sasa.. Kweli wewe ni fokonyoko..

na ukicheza nakufokonyoa vilevile
 
Mkiambiwa ukweli mnasema mnatukanwa.. Sasa wewe nikikuambia akili yako na hili jina la id yako vnaendana utasema tusi..! Ona ulichoandika sasa.. Kweli wewe ni fokonyoko..

na ukicheza nakufokonyoa vilevile,hujaona hilo lako soli ya viatu
 
Ha ha ha.. Haya bwana fokonyoko.. Lowasa hana usafi wa kuwa rais wa Tanzania..

sosoliso ukweli unaujuwa vizuri,sema tu kwasabu uko kazini,sikulaumu,lakin mkuu najuwa kura kwasabu ni siri uta vote kwa el,
 
Ina maana huyo Lowasa ndo ameshapitishwa na ccm kuwa mgombea wake..? Vpi kuhusu Sitta.. Membe.. Migiro.. Makamba.. Nchimbi.. Wassira na wengineo..?
 
Back
Top Bottom