Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,851
Tunaenda wote mpk na waasi tukamalizie tulipoishia 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠! Peponi tutaenda mi smart na Rabbitus tu uduguuu wengine na unaa wenyu mtanyongwaa live walaii🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭
Tunaenda wote mpk na waasi tukamalizie tulipoishia 😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤠🤠🤠🤠! Peponi tutaenda mi smart na Rabbitus tu uduguuu wengine na unaa wenyu mtanyongwaa live walaii🤣🤣🤣🤣🤣🤭🤭
NakaziaMental illness. Wewe ujinga wako ulipohojiwa ukataka kuvunja ka tecno werevaa kako. Thread kaanzisha mwanaume anamsifia mwanamke wake unajifanya kuhoji. Ila yako unataka wakae kimya. Behave yourself old man.
Dah!! Basi wakakojoe walale wasubiri michuano ijayo 🤣🤣🤣🤣Alaf wapinzan wao walikua pungufu kipind chote cha pili 😀😀😀wakubali tu bahat hakua yao
Yanii huko waliko sipati picha wanavosherehekea dah ushindi wa kishindo sana wakianza naule waliowatoa Senegal nahii ya leo kucheza pungufu na kushinda dakika ya mwisho kabisa!Alaf wapinzan wao walikua pungufu kipind chote cha pili 😀😀😀wakubali tu bahat hakua yao
Vipi tena mrs. Smart911Mkuki kwa nguruwe dadeq Rabbitus wewe🤣🤣🤭🙌!
You've turned the tables huh!!!I own PhD from Cuba. ✌️
Mambö yangu huishia public. Uliniudhi siku ile kunitukana. Kati ya wote walioluwa kwenye ile list ni wewe tu ulinitukana japo nilichokisema ulikielewa. Case closed.
Jamaniii kidampa mwenye matashititi yake JF nshaingiaa, mbona kuna vita imeibukaa mpyaaa? Kwemaaaa?
Wambea wenza naomba ubuyu unifikie km ulivyo isisahaulike hata nukta wala mkato.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nisha bebeshwa teyar,nipo nakula udongo 😂😂😂😂😂🚶🚶🚶🏼♂️🚶Tubebeshane basi 🤣🤣🤣
Kulikuwa na mpambano madam, look at this!!! Nimekuambia kama kuna kitu unataka kujua uliza, I think you're smart.Kwahiyo umempa ushindi wa mezani?? Umetupa silaha?? Au Tuahirishe pambano?? 😜
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniii hebu fungukaa vizureeeeee, wambea tupateee content, woiiiiihPole sana acha ujinga. Unajifanya na busara public kumbe fisi tu kama fisi wengine.
Ukalipa na hotel na demu hakuja, so sad.
We ushaanza kuchachuka 😂😂😂mwambie mke wa kantir akupe samale[emoji16] alikuepo mwanzo wa kipind mpka saiv kinakaribia kuisha
Kesho ntakuuliza 😂😂😂Kulikuwa na mpambano madam, look at this!!! Nimekuambia kama kuna kitu unataka kujua uliza, I think you're smart.
Yaan sijui kwann nikiwa sipo JF bas kunafurikaaa manjegekaa humu woiiiiihmwambie mke wa kantir akupe samale[emoji16] alikuepo mwanzo wa kipind mpka saiv kinakaribia kuisha
Aiseee kwa hiyo kuamua kukupotezea kwako ushindi sio?.You've turned the tables huh!!!
Siku nyingine ukipewa info, huko Cuba na vyeti vyako usiviweke uvunguni, tumia masaburi vizuri kuchanganua kama akili zimechoka.
Collect your data well before you start attacking me, sawa mzee?
Lakini pia, jifunze kwanza saikolojia ya anayekupa info, is he/she okay? Usikurupuke, binafsi sikujui na sihitaji kukujua as tayari nishafamu uwezo wako ni mdogo(kuchanganua issues) ila kama una jambo karibu pm.
Unanirushaaa rohoo kwan kuna jipyaaa gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mr milk shake Rabbitus mimi km refa kombe lako[emoji471] naona mzee wa hovyo kakupa ushindi wa mezani, tuonane kwenye michuano ijayo.
Ahsante kwa kushiriki [emoji120]
We ushaanza kuchachuka [emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo tukupe kadi ya uwanachama wa umbea
Aliyekwambia uchelewe nani?? 😂😂😂Unanirushaaa rohoo kwan kuna jipyaaa gani? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hebu nisamalaizie, ukute huu ubuyu ninao.