Mental illness. Wewe ujinga wako ulipohojiwa ukataka kuvunja ka tecno werevaa kako. Thread kaanzisha mwanaume anamsifia mwanamke wake unajifanya kuhoji. Ila yako unataka wakae kimya. Behave yourself old man.Mkuu,
Sie wazee wa kuhoji, tukikaa kimya havinogi. Some stories don't equate tusipohoji🤣

