Tangu loni ANDUJE akashaurika?Huwezi ona ana kosa kwa sababu wewe upo hoi bin taabani kwenye mahaba kuntu...
Ikitokea nakutana na Smart911 nitamchana ile kishikaji namna ya kuhandle hizi mambo kisela...
Kama alikuwa anagonga wale wachuchu wote (kwa mwanaume inaruhusiwa π)halafu hao wachuchu wakaja kukuletea zereu na mwamba hakuwamaindi, huoni hapo jamaa kazingua?
Hata hivyo kwa sasa kama mmeyamaliza it's well and good, lakini wahenga walisema mlamba asali halambi mara moja, mwishoni hujenga mzinga wa asali...
Halafu Smart911 mwamba ujue umekula matoke yangu halafu umekausha...
Na mimba juu watu wanabebeshana πHivi ni kweli jf watu hua wapenzi mpaka kukutana live??
Tusubirie wale Sungusungu waliojificha waanzishe episode nyingine kali hahaHuwezi ona ana kosa kwa sababu wewe upo hoi bin taabani kwenye mahaba kuntu...
Ikitokea nakutana na Smart911 nitamchana ile kishikaji namna ya kuhandle hizi mambo kisela...
Kama alikuwa anagonga wale wachuchu wote (kwa mwanaume inaruhusiwa π)halafu hao wachuchu wakaja kukuletea zereu na mwamba hakuwamaindi, huoni hapo jamaa kazingua?
Hata hivyo kwa sasa kama mmeyamaliza it's well and good, lakini wahenga walisema mlamba asali halambi mara moja, mwishoni hujenga mzinga wa asali...
Halafu Smart911 mwamba ujue umekula matoke yangu halafu umekausha...
Opinions are not fact mkuu upo sawa!
afu nishamwambia ataejilengesha azibue tu ndio uanaume huo! Mwanaume unakaaje kizombie zombie hata wanawake hawakugombanii ???π€ π€ π€ π€ !
Wee matoke yalikua yake wee ulidandia gari tu baada ya kusikia desemba nitakua Dar!
Ndiwooooo tena awakaze kisawasawa na alivojaaliwa plus mautundu sasa!!!Hahahah mwamba kumbe kashapewa ruksa ya kusuuza rungu atakavyo kama nawaona wale wachuchu wake wanavyokenua π kwa hii go ahead, au umempa ruksa asuuze rungu kwa wengine wapya lakini sio wale kina nanilihuu....
Matoke nitayafuata huko huko panapo majaliwa...
Mkuu,Smart911 love Kweli weee mkareeeeeeee!
Wewe sio wa nchi hiii uko juuuu ni next level wengine watasubiri sanaaπππ!
Hadi wanaume wenzio wanakujadili since morning umetishaaa babe ππππ πππππ
Ndiwooooo tena awakaze kisawasawa na alivojaaliwa plus mautundu sasa!!!
Jichanganye kama utanipata nimekaa paleeππππ!
Nimechoka kukujibu!Mkuu,
Kwamba kweli watu wanajali sana na kuona the man is "man enough"! Nyie mmeamua kuichangamsha mmu tu na sisi tunaenda na flow, binafsi tu nahisi its staged, hakuna uhalisia coz jamaa kama kweli ni man enough hawezi kula na kupiga kelele. Mnatuchangamsha sana...
Mkuu,

Arrgh Nimechoka kuwajibu mimiποΈποΈποΈποΈ!Hongera...
Mkoani kwenu, sio kwako manywele...
AhahahHuu uzi balaa nmeona hadi Mwachiluwi amejitokeza π π
Marahaba Mjukuu, hujambo?Shikamoo
Mwa mwa on the chick babu hii ni ya weekendShikamoo
Njoo utupe ubuyu miching uAhahah

Hahaha .......thanks for the love Mjukuu, utafiti usio rasmi unasema Mzee akichumiwa eti anaongeza Siku za kuishi π€Mwa mwa on the chick babu hii ni ya weekend
Kweli na upendo mwingi akipendwaHahaha .......thanks for the love Mjukuu, utafiti usio rasmi unasema Mzee akichumiwa eti anaongeza Siku za kuishi π€
Amini nakwambia Mjukuu, hizo kazi nzito Babu yenu siwezi.Babu uongo πππ