Loving you Mahondaw

[emoji1][emoji1]
 

Ila inakata sana kuwa na mwanaume mwenye wanawake wengi utavimba humu jf na kujikakamua kuwarusha roho watu kumbe unajichafua kuaibika huku moyon huna raha kabisa na huwezi kuwa na raha
 
Naijua hiyoo [emoji23][emoji23][emoji23]
Tusubiri wakati wako, sema wee unachezaga kistaha.
Km sio wee vilee.

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] ila coca unajua kukera khaaa[emoji1316] sema mnajuana nyiee,, maan nmeshangaa kuona unamsapoti shost ako kweny huu uzi wakat selfika2 ulikua unamchamba kuhus penzi lake[emoji38][emoji38] siku mambo yakibadilika najua lazima umgeuke na kicheko juuu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuuu kuna watu kesho wata amkia mloganzira, wallah nakuambiaaa hiviii.

Kiharusi cha ghaflaa unakijua wee?

Unajua hiyo ni kunyanyaswa kihisia na mtu anakuwa anajifariji kwa uongo maana mwanaume anakuwa manipulator,kutoka kwa hayo mahusiano mpaka ukae ujitafakari haswa uwe na msimamo,maana unakuwa unajizibia riziki yako kwa mtu wa kweli humu wako wanaume wazuri tu na wametulia
 

Coca alimuambia ukweli lakin [emoji23][emoji23][emoji23]ila aliaibika mi niliwaambia tu kuwa mnahangaika kuchamba [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…