Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,684
- 8,754
Kwanza wewe umewahi kuona wapi faiza mwenye akili
hahaha una utani na faizafoxy
Kwanza wewe umewahi kuona wapi faiza mwenye akili
Hapo kwenye red,unaongelea nje ipi?Asante kwa kutujuza hata nje ulikua unaenda hicho ndo nilichokijua kutoka kwako dada majinuni
Hapo kwenye red,unaongelea nje ipi?
Ya mchepuko au nje ya kwa Obama?
Funguka kidogo bi dada!
Hujambo shemeji yangu mpendwa?
Hiki kimalaya hata kuandika tu hakijui yan tabu tu
Mara ya kwanza kilisema kilivyomwambia jim wazae akakataa sasa hivi jim anataka mtoto yani kanasahau kalivyotudanganya
Kimetumwa hiko konyo zake
Hamna lolotehahaha una utani na faizafoxy
Mara ya kwanza kilisema kilivyomwambia jim wazae akakataa sasa hivi jim anataka mtoto yani kanasahau kalivyotudanganya
Hapana hamkumuelewa alimwambia Jim akipata mimba itakuwaje? ( yaani mimba ya mwanaume mwingine) ndiyo Jim akamwambia nitakuacha, kwann upaye mimba na mtu mwingine wakati mimi ninauwezo wa kukupa mimba,
We hebu nyamaza tukiweka habari za kina profesa kapuya na capten john komba machemli na wenzake mtakimbia jukwaa hili.If this is a verified story:
1. Bangi = uhuni
2. Ngono bila ridhaa = ubakaji.
3. Ngono zembe = kukosa uwezo wa kufanya maamuzi sahihi.(recklesness)
Hawa ndio UKAWA wanataka tuwape IKULU.
Kwa staili hii mtaendelea kuishia hapo Bungeni milele.