Love story (True story)

Love story (True story)

Mh.mbilinyi huyu mwanamke ni wa kumpuuza wala huna sababu ya kumjibu kubali tu kuwa hata kama ulitembea nae ni kama ulikutana na shetani siyo mwanamke huyu. Na inawezekana kabisa anatumiwa na maadui zako kukuchafua hasa wale jamaa wa clouds fm sina imani nao kabisa.
 
Limwanamke lenyewe limekaa kama jini aisee ni kuomba mungu unaweza kukutana na majanga ya karnee.
 
SUGU alitokana wapi na huyu malaya?

Hii inaonyesha Mbunge wa Mbeya mjini siyo muadilifu!

Mwanamke ana wanaume watatu kwa mkupuo mmoja hafai huyo!

Hii inadhihirisha SUGU upeo wake kwenye masuala ya kijamii ni mdogo sana!
 
Kwani kuna mtu wa chadema mwenye reputation nzuri katika mambo haya? Labda chacha wangwe.
 
kweli uchaguzi umekaribia

lakini tukubali tukatae sugu mwakani atashinda tena ubunge

wajipange upya hii hekaya haingii akilini
 
SUGU alitokana wapi na huyu malaya?

Hii inaonyesha Mbunge wa Mbeya mjini siyo muadilifu!

Mwanamke ana wanaume watatu kwa mkupuo mmoja hafai huyo!

Hii inadhihirisha SUGU upeo wake kwenye masuala ya kijamii ni mdogo sana!

Ndiyo wanawake wa kwenye facebook na badoo mkuu hujui ana deal na watu wangapi.
 
Kweli mkuu, FACEBOOK imesheheni ufuska wa kila aina!

Ila kwa Mbunge kuwinda makahaba FACEBOOK ni aibu sana!
 
kweli uchaguzi umekaribia

lakini tukubali tukatae sugu mwakani atashinda tena ubunge

wajipange upya hii hekaya haingii akilini

Ashinde, Asishinde, Non of our business!

Ila unaona ni sawa kwa mwakilishi wa wananchi kuwa na tabia zilizotajwa hapo juu?
 
Uvutaji Bangi! Ulevi wa Pombe! Uhuni , ufuska, umalaya! Havipendezi kufanywa na Mbunge!
 
Ashinde, Asishinde, Non of our business!

Ila unaona ni sawa kwa mwakilishi wa wananchi kuwa na tabia zilizotajwa hapo juu?

don't mix private life and public life ya sugu

kiongozi ni binadamu kama binadamu wengine no one is perfect

even though hii ni hekaya tu ingenishawishi kama ingekuwa imehaririwa na shigongo ningeiamini
 
SUGU alitokana wapi na huyu malaya?

Hii inaonyesha Mbunge wa Mbeya mjini siyo muadilifu!

Mwanamke ana wanaume watatu kwa mkupuo mmoja hafai huyo!

Hii inadhihirisha SUGU upeo wake kwenye masuala ya kijamii ni mdogo sana!
Mkuu hapo lawama kwa sugu inatoka wapi!? Huyu umemjua km ni Malaya baada ya yeye mwenyewe kusema,asingesema wala usingejua. Hata hivyo haya ni maelezo ya upande mmoja,hujasikia maelezo ya sugu lkn unamhukumu..! Hivi unajua matendo ya mkeo!? Siku akiamua kusema hadharani matendo anayofanya nje ya ndoa yenu si utaji-mkwawa wewe!?? Maoni ya wengi hapa yanaonyesha huyu mdada ni punguani ndo maana anaona fahari kujidhalilisha lkn wewe unamshutumu Sugu.!
 
Umeshasahau! Kuwa SUGU alizaa naye mtoto?
 
don't mix private life and public life ya sugu

kiongozi ni binadamu kama binadamu wengine no one is perfect

even though hii ni hekaya tu ingenishawishi kama ingekuwa imehaririwa na shigongo ningeiamini

Ile ya KAPUYA mliiamini! Ila SHIGONGO anaipokea baada ya siku mbili! wala usihofu!
 
Back
Top Bottom