Sehemu ya 6
Akawa ana vuta na mm navuta wkt tuna vuta nikazima kabisa sikupata fahamu mpaka asubuhi yaani sielewi mpaka leo ile bangi ni bangi tu au ilikua na nini au labda kwa kuwa nilichanganya na ulevi sijui maana sina uzoefu...asubuhi nilivyo amka nikajikuta sijielewi nikawa nawaza majibu sipati nikaangalia chini nikakuta CONDOOM za kutosha Lkn ni kama zimefunguliwa tu hazija tumika,nikamuuliza mbona CONDOOM zinaoneka hazijatumika ? Akanijibu nilikua nimelewa sana nikawa namvua Nasema kwamba zina nichubua, nikaa kimya kwanza kwa muda nikawa na waza Kama ni kweli nilisema sikupata jibu maana nilikua sijielewi wkt wa kitendo kizima Lkn nikapata swali nikamuuliza , sawa mm nilikua nimelewa nikakataa JE ? Wewe ulikua hujalewa Kama mm kwa nini ulikibali ? Akaniambia kila akitaka kuvaa mimi na mkataza... Dah!(nilihisi amenisingizia) Kwa kweli haikuingia akilini kwa sababu kwanza sikuamini Kama nilisema kwa sababu ktk safari yangu ya maisha mm nimejichunga sana Lkn sikuweza kumlaumu kwa sababu tendo lilikua limeshatokea zaidi nilijilaumu mm kulewa kupita kiasi pia nili mlaumu cousin wangu kwa nini ktk hali Kama ile aliiniacha na mwanaume... Nilisikitika sana sana nilijiona nimejikosea sana JIBU nililopata nisubiri miezi mitatu ifike nikapime nipate uhakika wa afya yangu maisha yangu yaendelee! Akauniuliza Jimmy ni nani ? Ni kashtuka amemujuaje.. Na mm nikamwambia jimmy umemjuje ? Akasema wkt tunafanya sex ndio nilio kuwa na mtaja nilizani yeye ndio anae nipa mautamu hahahaaa kweli nilicheka sana sikuona aibu kwa sababu kwa mm yeye alikua mpita njia tu... Nika mwambia Jimmy ni kijana yuko dar natokaga nae na nimezoea kufanya nae sex .. na kawaida ya kufanya hivyo! Halafu nikamwambia kwa kuwa wewe umefanya sex na mm inabidi nikwambie kuwa wkt natoka dar nakuja huku alinipigia cm akaniambia ana maumivu wkt wa kukojoa na alipata ugonjwa wa zinaa sasa mm sijisikii Kama naumwa na sijui huo ugonjwa kaupataje... Nimemwambia hivyo kwa sababu Kama akipata huo ugonjwa ajue amepata wapi! Nae akapata mshtuko Lkn akashindwa kunilaumu maana na yeye alifanya sex bila CONDOOM kizembe kwa hiyo wote tukaa kimya... Akaniliza na UKIMWI je? Wkt huo na mm ndio swali liliopo kichwani.... ITAENDELEA