magode
JF-Expert Member
- Oct 2, 2014
- 2,204
- 3,338
Ndiyo najua km amezaa nae,nnachosema hapa sugu hastahili lawama hata kidogo! Huyu kwa vyovyote vile anajitoa ufahamu baada ya kutemwa. Isingewezekana Sugu ajue yote haya halafu aendelee nae,lazima alificha tabia zake ambazo hivi sasa anazianika! Huenda sugu aligundua mwenyewe tabia chafu za huyu kahaba ndo maana akamtema..! Wanawake wengi wanaficha mambo mengi sana,wapo makahaba wenye waume wasio na idadi lkn waume zao hawajui na kwa hili hata me na wewe tunaweza kuwa wahanga!!Umeshasahau! Kuwa SUGU alizaa naye mtoto?