Love story (True story)

Love story (True story)

Hata angeandika nini,"mwanamke atabaki kuwa mwanamke na mwanaume atabaki kuwa mwanaume" hivyo haiwezi shusha hadhi ya mwanaume yeyote hata kama asingekuwa mwanasiasa.Mpe pole

Haya mpe pole
 
Ila hapa tumejifunza mambo mbali mbali. Wanasiasa wa chadema ni mafuska sana na wanapenda kupora watu wanawake.

Sio sugu tu bali hata Dr slaa alipora mke wa mtu na anataka kuingia na kimada huyo ikulu. Pia mbowe amekuwa akigombana na mke wake lilian kwasababu ya ufuska.

Lema naskia sio rizki ila hata zitto ni fuska coz alishawahi kupata scandal mbalimbali ikiwemo ile ya diva.

Wanajiona wao ni watu wakubwa sana kukataliwa na wanawake. Ndio maana wanapora hadi wake za watu na hutumia nguvu kufanya nao uasherati. Mfano sugu alimbaka faiza.
 
Back
Top Bottom