Love body languages za wanawake.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Love body languages za wanawake....

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tuko, Aug 26, 2011.

 1. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #1
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Pengine ni utamaduni au nature, lakini ni mara chache sana mwanamke anaweza kumtamkia mwanaume 'nakupenda, naomba tu wapenzi' hasa kama hawajazoeana sana. Pia mwanamke anapokuwa na hamu ya mchezo na mwanaume (ambaye sio mpenzi/mke wake), inakuwa ngumu ku-express herself directly.
  Badala yake wanafanya ishara fulani zinazopelekea mwanaume ajue anapewa ujumbe fulani. Sometimes unakuta mwanaume hajui hizo ishara.

  Hivi wanaume ni ishara gani mnajua kuwa ukiziona mwanamke anakufanyia basi ujue anakutaka?

  Mi nianze tu na moja ya mwanamke kuja karibu yako, huku akichezea kitu mdomoni kwa mfano kalamu vile, na kuinyonya, na kusababisha zitoke sauti fulani za kufyonza huku akikuangalia machoni...
   
 2. First Born

  First Born JF-Expert Member

  #2
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 5,315
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  macho yanakuwa kama yamesinzia
  hakusikii ingawa anaweza akawa anakutazama, mawazo yake yanakuwa mbali na topic mnayoizungumzia
   
 3. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #3
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Mie napita tu, ngoja wajuaji waje kukupa msaada zaidi.
   
 4. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #4
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhh hivi kumbe
  Sina huo muda wakuremba remba
  Kabla hata hatujakutana lazima nijue sababu.
  Business or pleasure.

  Na ukinivutia ntakusalimu
  ( inategemea na hali ya hewa )..
  Mazingira..
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  Na kama sitavutiwa na wewe sitaitikia salamu zako. LOL
   
 6. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #6
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Thats too easy AD... just kusalimia, au kusalimia kwa namna fulani...
   
 7. sulphadoxine

  sulphadoxine JF-Expert Member

  #7
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 2,264
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Hiyo safi kwasababu wapo wanawake wengine vibuli sana.
   
 8. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #8
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  he he he...
   
 9. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #9
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Ndivyo inavyotakiwa..
  Yale mambo ya kureemba
  Na kumsifia mtu huku unawaza jinsi
  Ya kumkimbia siipendi..

  Hujavutiwa na mtu mwambie mapema..
  Hamna haja ya kupotezeana muda ..
   
 10. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #10
  Aug 26, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  You think that's easy?
  Have you try it before ?
  O
  Kama bado hujagundua kuna kitu
  kuhusu salamu.. chunguza tena ..

  (Sauti kwa ujumla )
   
 11. DULLAH B.

  DULLAH B. JF-Expert Member

  #11
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 674
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Mi kwangu terms and condition vitazingatiwa.
   
 12. Dio

  Dio JF-Expert Member

  #12
  Aug 26, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 1,278
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ntakuja baadae wapendwa
   
 13. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #13
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Kuna wanawake wengine akimtaka mwanaume anatafuta kisa cha kuanzisha ugomvi nae!!!
   
 14. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #14
  Aug 26, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180

  Ok...
  nilikuwa silijui hili...
   
 15. M

  Mkomandaa Member

  #15
  Aug 26, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 58
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Mkiagana atakuambia karibu kwetu kwa sauti ya mapozi. Muulize utakuwepo lini. Akijibu hilo umeula nenda harka.
   
 16. Kbd

  Kbd JF-Expert Member

  #16
  Aug 26, 2011
  Joined: Oct 9, 2009
  Messages: 1,264
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 133

  Hahahahahaaaaaaaaaa! Duuh..........hii kali.
   
 17. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #17
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,091
  Likes Received: 6,557
  Trophy Points: 280
  nitarudi kusoma michango hii baadaye.
   
 18. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #18
  Aug 26, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  Tuko, these days wanawake wako straight kinomaaaa! hawana muda wa kuchezea majani wala kutafuna vidole, ni face to face, she will ask you out, anakupigia ka ulabu kidogo anakupa maneno yako, black and white, sasa wewe mwenyewe utachagua kunyoa au kusuka.

  hizo time unazozungumzia wewe ni enzi za Peaugeot 504 (guruwe) na VW-Beetle (Mgongo wa chura)
  Zama hizi mtu anakutokea hata kupitia FB (Face Book)
   
 19. AshaDii

  AshaDii Platinum Member

  #19
  Aug 26, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 16,247
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  Hio ya kuchezea pen mdomoni... mmh! Mbona process ndefu saana??
   
 20. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #20
  Aug 26, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,474
  Likes Received: 4,133
  Trophy Points: 280
  Baada ya hapo....
   
Loading...