Husninyo
Platinum Member
- Oct 24, 2010
- 24,167
- 10,226
Hussy umeniita?
nimekuita ndio. unaweza kuvolunteer kunipa love bite?
Hussy umeniita?
presha labda uzitake mwenyewe tu sam.
hahahaha,mahaba nivuruge kama UKAWA
Bora unisaidie sosoliso....huyu charminglady kila nikijieleza anaishia kumtaja Paloma....khaaaaa
Get over heeeeer.....
Hussy umeniita?
uko poa lakin besti?
Duuh president.. Umelifanya limekuwa veri romantic jina hilo lol..
Duuuuh!!!!humu ndani ukija na stress lazima zikate....eti mahaba ni............ni....'haallaaaaah!!!!!!!napita tu....
hahahaha!!! jamaniii.
Naomba kutangaza nia....nina uzoefu wa kuweka love bite hadi kwenye mawe.
wewe super handsome mie nakuogopa.
hahahahah kiuhalisia nikibaki machicha ni sawa na kufikia kilele cha mapenzihahahahhaha Dilekeni umenchekesha sanaaaaaaaaaa,,,,,,,,,,,,jaman waswahil tuna maneno sana,,,,sasa ukikamuliwa kama tui la nazi si ndo utabaki machicha tu ndugu yangu
hahaha!!! king kaja mbio huyo wakati hata sikumuita. loh. ukishasoma futa asione.
hahahahah kiuhalisia nikibaki machicha ni sawa na kufikia kilele cha mapenzi