Love bite

Love bite

Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.

Mwambie awahi Hospitali wakamtibu vidonda vya kung'atwa ili visichimbike sana na hivyo kupelekea makovu kuwa makubwa....
 
Dawa yake ndogo sana.

Mwambie awe anamvika HELMET mwenzake. tena siku hizi zinapatikana kwa bei che sana. au vile vidude wanavaaga madaktari mdomoni na puani.

Hahahaq helmet !!
 
Ahahaha love bite kama ni hii niifamuyo mimi huisha baada ya siku moja bana hata alama haionekani kabisa...i guess mshikaji anang'ata kabisa!!!

Mahaba gani hayo ka chanjo ya polio!!!

Hiyo issue ni ya last wk hadi leo alama ndo zinapungua. ni hatarr
 
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.

Ndo maana nagongaga Doggy tu. Ataishia Kutang'ata mto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom