Love bite

Love bite

Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.

Ha ha haaa haaaaa MAHABA NIVURUGE KAMA BUNGE LA KATIBA.
 
Ahahaha love bite kama ni hii niifamuyo mimi huisha baada ya siku moja bana hata alama haionekani kabisa...i guess mshikaji anang'ata kabisa!!!


Mahaba gani hayo ka chanjo ya polio!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom