Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
hahhaah mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia
hahahaha,mahaba nivuruge kama UKAWA
hahhaah mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia
hahahaha,mahaba nivuruge kama UKAWA
ah!...hizi ngono zingine, subiri sku moja amng'ate pua! Love bite gani unamng'ata mwenzio chaukwelichaukweli, mwambie na yeye aanzishe mchezo wa kutia jino kwenye kirungu, akiuliza asema anajiskia raha kweli yaani hayo ndiyo mapenzi yenyewe !
hahahaha,mahaba nivuruge kama UKAWA
natamani nipate hilo lilove bite. hakuna wa kuvoluntia???
Mahaba nisombe kama mafuriko ya dar.....hahahahahhahh mahaba nibabue niwe kama chura
hahhaah mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia
Mahaba nisombe kama mafuriko ya dar.....hahahaha
mahaba nipige shoti nitetemeke
natamani nipate hilo lilove bite. hakuna wa kuvoluntia???
hahahah mahaba nichambue kama tundu lissuMahaba nichanganye kama bunge la katiba!!!
Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.
Mahaba nitunze Husninyo nimridhishenatamani nipate hilo lilove bite. hakuna wa kuvoluntia???
Mahaba nipe kero kama morogoro roadmahaba nizoe km katrina
Mahaba nipe kero kama morogoro road
Mwambie aje kwangu.
Huyu jamaa anaweka alama mali yake.
safi sana.....
hahhaah mahaba nipoteze kama ndege ya malaysia