TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Hahahaha!!!! round ipi ndg niko njia panda.
Kausha dear...lol
Hahahaha!!!! round ipi ndg niko njia panda.
Kausha dear...lol
Poa swity,,,, shemu hajambo??
Si unaliona kwny avatar hapo kdg litafaa.
Sioni nitumie watsap
Sioni nitumie watsap
Hajambo dear.. I hop Shem Wangu pia mzima
Heeheheeee...unapenda mizigo eeh!!!
Mzima kabisa,, usiku mwema mpnz.
Subiri nitume sasa ivi...
Na wewe unao?
jamani hiyo love bite mi sijawahi kung'atwa nipeni darasa
Heheehee miss neddy yaani ni raha Sana Sema tu yawe mahal hayaonekani maana kila mtu atajua umenjunjwa
La hajaaa
Siamini...ningeamini ningekupa zawadi..very special
hahahaha nipe muongozo basi natamani hiyo raha
Hahaaaa...sasa nitakuaminishaje?
Njoo watsap...
Hahahaaaa...wewe..inategemea na Shem Kama anayaweza hayo