Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,087
- 6,390
wewe super handsome mie nakuogopa.
Hebu acha kunirusha kisayansi kimu....nipe shingo hiyo niibandike mabaka
wewe super handsome mie nakuogopa.
Wanunue bites ili watumie kabla na wakati wa mafirigisu firigisu! Hapo utakuwa umesolve na hatong'atwa mtu tena.Nina ndugu yangu amelakamika kuhusu mpenzi wake anaye mng'ata wakati wa "love making" amebaki na makovu na alama kila mahali. Kila akimuomba jamaa haelewi anamwambia kuwa ni kati ya vitu anavyohusudu kwenye mapenzi. je afanyeje kuondoa makovu na alama.Msaidieni jamani.
Hujapata tu mtu wa kukupa love bites?
cjapata bado. njo mpwapwa basi.
Nitakuja jiandae love bites za wowowo
awwwwhhhh! OMG!
Hebu acha kunirusha kisayansi kimu....nipe shingo hiyo niibandike mabaka
Nitakuja jiandae love bites za wowowo
hahahahaaaaa,,,,za wowowo?????wallah nilikua najua kuna za shingon tu
Sijui we jinsia gani ..wadada wachache waliobahatika kupata love bites Hizo
mweeeh!! cc sweetlady.
leo naona una kazi maalum ya kujua jinsia za watu. yangu unaijua?
Hizo love bite sizijui ndo huwa inakuaje??
Zipo za shingoni na za kwenye wowowo. U choose
Aiseeeeeeeee!!!!!!! za wowowo nahisi zitafaa zaidi.
Aiseeeeeeeee!!!!!!! za wowowo nahisi zitafaa zaidi.
Unalo lakini?sio uniletee flat screen
Heheheee....especially yakiwa round flan hiviiii