Habari wa jf nipo mjini Mtwara hapa,ktk kile kinacho dhihirisha kua wana Mtwara bado hawajakubaliana na hoja ya watawala kua gas iende Dar lori lililokua limebeba shehena ya mabomba ya gasi limeshambuliwa kwa mawe mara tu lilipoanza kuingia manispaa ya mikinda Mtwara mjini na dereva kujeruhiwa vibaya,
mpaka sasa lori hilo lipo kituo kikubwa cha polisi hapa Mtwara,
ni wiki moja tu imepita watu kazaa walikamatwa na polisi hapa Mtwara kwa kile kinachodaiwa kusambaza waraka wa kuhujum miundombinuu yote ya gas mara tu serikali itakapo anza utekelezaji wake wa ujenzi wa bomba hilo kupeleka Dar,
Duh actions speak louder than words.....
Naona kama umeadhirika na mafuta ya UBUYU!Wanaochochea itakuwa ni chadema tu, hakuna wengine.
wanaochochea itakuwa ni chadema tu, hakuna wengine.
Tusiishie kupongezana ujinga mitandaoni, tuwe tunaenda na kupeana 'HI' lupango.
Upuuzi wa watu wa Mtwara nitaupinga daima! Acheni uchawi na kujitenga, Mtwara haitabadilika kwa tabia zile zile hata mkipewa almasi.
Wananchi wa mtwara wanakosea sana
cjui wabunge wao wanakazi gani badala ya kukaa na wananchi wao kuwaelewesha
ufinyu wa mawazo huo
wanadhani mitambo ikijengwa huko ndo wameuaga umaskini, kumbe sio!!
fanyeni kazi mtwara, acheni mambo ya ajabu
mkuu hii tarifa haina ukweli hakuna uthibitisho wa kutufanya tuiamini tarifa hii,