There you are Mr King Kong IIINi rahisi sana kuwaachia manyoya watu wa cyber kwa kutumia mawasiliano ,issue nyingine hazifai kuziweka wazi maana zitachochea uhalifu ,bora waendelee kuacha traces ili wawe wanadakwa.
Walishikwa wa Dada Wa ITV au ni wahisiwa maana mahakama ndio inatoa muhalifuUna uhakika kuwa wale waliomuua yule dada wa Itv hawakukamatwa??fuatilia vizuri wapo mahabusu siku nyingi sana!!!polisi wetu huwa wakiamua wanaweza sana,tatizo ni pale aliyekufa ni nani?!!kumbuka kifo kile cha RPC Baro kule mwanza!!
Hili ni li pimbi kweli harafu nahisi ndo muhusika wa mauaji kwanini anawatetea wahalifuWee pimbi nawe tumekuchoka unatafuta ligi tu.
We mtoto Kaa Kwa kutuliaHili ni li pimbi kweli harafu nahisi ndo muhusika wa mauaji kwanini anawatetea wahalifu
Acha ufara km wwHii sura na MAVAZI yanaongeaView attachment 2550300
Inaweza kuwa huyo binti alikuwa mapepe! Tunaondoka kanisani kwenda kuonana na mtu? Unaachaje simu on wakati uko kanisani? Bure kabisa! Tumefanya kanisa kama sehemu ya maigizo!unaondokaje ukiwa katikati ya ibada?? yan kama umeeka pause vile, Mungu akusubirie kwanza kisha utamrejea??
kifo hua kinakua na sababu pengine hio ndio sababu ya kifo chake kuamka na kutoka nje ya kanisaInaweza kuwa huyo binti alikuwa mapepe! Tunaondoka kanisani kwenda kuonana na mtu? Unaachaje simu on wakati uko kanisani? Bure kabisa! Tumefanya kanisa kama sehemu ya maigizo!
Daaahh mkuu kwenye hii issue serious naona wewe umeichukulia kivingine kabisa. Anyway tuishie hapo kila mmoja atabaki na Imani na kuguswa kwake kwa huyu marehemu. Hata iwe vipi hakuna yeyote Yule binadamu mwenye haki ya kukutoa uhai wa MTU no matter what. Hivyo wenye Nia njema tunaomba familia ifanikiwe kupata haki no matter what. Hata mwizi na kahaba kwa Imani yangu ana haki ya kuishi ila kwa Imani nyinginezo Kali basi bàadhi ya adhabu tunazijua fika. Tusifike huko.mpango wa Mungu
Mshaanza wasabato
Hili nakuunga mkono, umenikumbusha mbali [emoji23]ila kuna kitengo kule polisi cha shirki wakiona wanasumbua kuwapata wanawaweka kwenye chungu maalumu kuwachungulia na kuwazubaisha ufahamu hawatoki nje ya eneo walilofanya tukio au nje ya mipaka ya nchi waliyofanya tukio watabaki wanazunguka tu humu mpaka watakapokamatwa.. kazi za upelelezi noma sana..
We ni muuwaji haiwezekani unatetea wahalifu angekuwa dada yako ungeandika upuuziAcha ushamba Kaa kimya kama huna hoja
Ndio twitter yupo, lakini hata huyokigogo kigogo wa facebook haletagi mizoga.. uwa analeta za moto moto na ni real haswaa.kamtafute kule facebook.Amna kigogo wa FB mzeeees kigogo chronicles ni Twitter tu
Km mama akAcha ufara km ww
Bure kabisa!Inaweza kuwa huyo binti alikuwa mapepe! Tunaondoka kanisani kwenda kuonana na mtu? Unaachaje simu on wakati uko kanisani? Bure kabisa! Tumefanya kanisa kama sehemu ya maigizo!
Unaamini upuuziWe ni muuwaji haiwezekani unatetea wahalifu angekuwa dada yako ungeandika upuuzi
Situation upumbavuNdio twitter yupo, lakini hata huyokigogo kigogo wa facebook haletagi mizoga.. uwa analeta za moto moto na ni real haswaa.kamtafute kule facebook.
Hili boya tu halina uhusika wowote, watakua wamelituma lisome comments, ooops,! ma jitu kama hili bongo kumbe yanaitwa CHAWA,lipo kuona muenendo wa comments za watu kwa maana JF ni real source ya habari bongo kama TMZ vile.Hili ni li pimbi kweli harafu nahisi ndo muhusika wa mauaji kwanini anawatetea wahalifu
Hata mm nashangaaMkuu hili la "macho ya marehemu ku reveal ..." ni kwenye sinema tu.
KABISA KABISA !!! YAANI INGEKUWA NCHI ZILO ENDELEA UKO HII KESI INGEPEWA KIPAUMBELE SANA NA WAPELELEZI WANGEIGOMBANIA !!!!!, MFANO KUNA KESI YA BILIONEA MSUYA , KESI YA MAMA NA WATOTO WA MUTABOYERWA NA YULE MAMA MHADHILI WA CHUO UKO MOROGORO>? YAANI POLISI WETU WANAKIBIRIA OOOH SIJUI HOUSE GIRL OR HOUSE BOY!! KUMBE MASKINI UKICHUMGUZA ZAIDI KUNA MHUSIKA MKUU NYUMA YAKE PIA LAZIMA WATU WAJUE MOTIVES ZA HAYA MAUJI ILI WAWE NA TAHADHARI!!! TAARIFA ZA MWISHO ZA UCHUNGUZI ZIWE PUBLIC!!!Kupitia hili dodoso lako; polisi washindwe wenyewe kuwabaini wahusika.