Loose ends Kifo cha Martha Towo

Amna kigogo wa FB mzeeees kigogo chronicles ni Twitter tu
 
Wapi ulishaona kigogo fb
 
Umeandika ukiwa umelewa au
 
Pisi kali is not an option aisee . Its an involuntary action you see[emoji2960][emoji16] akili itarudi ukishapigwa tukio but then life must go on ... If its so unbearable you retaliate
If its so unbearable you retaliate...! @ your own risk dude ...! Not everytime you wanna make it.
 
She screwed somebody


Point Iko hapa
 
Hapa umeelezea vizuri sana, na huko kahama kuna pesa mingi za madini kwahio kuingiza pesa haramu na kutoa halali ingewezekana, labda alikataa wakaona isiwe tabu. Kama ni hivyo atakua alishakula zingine kwa mtindo huu labda alikua kashiba sasa.
Hizi ishu huanza na kiasi kidogo, kisha kiwango huongezeka kila wakati, na walivyo washenzi ili usije ukagoma kufanya kazi, malipo yako yote unapewa in advance deni linabaki kwako

Inapofika kipindi cha kupiga ndefu hakuna majadiliano tena, wanakuja wanakubwagia fungu kisha wanakupa tarehe ya kufanya kazi...!
 
Inawezekana hilo tawi la bank alikokuwa anafanyia kazi ndio ilikuwa sehemu ya madili ya hatari yanapofanyikia. Inabidi ufanyike upelelezi wa kina kwenye tawi hilo. Haya mauaji yamefanywa na watu waliojipanga
 
Una uhakika kuwa wale waliomuua yule dada wa Itv hawakukamatwa??fuatilia vizuri wapo mahabusu siku nyingi sana!!!polisi wetu huwa wakiamua wanaweza sana,tatizo ni pale aliyekufa ni nani?!!kumbuka kifo kile cha RPC Baro kule mwanza!!
 
Nimemsoma huko online baba yake aliongea na millardayo kwenye mahojiano, marehemu alishamueleza ishu zake 3/4, na alikua na msongo wa mawazo. Ila mzee kasema kabisa wivu wa kimapenzi hilo halipo katika sababu za mauaji hayo. Hakwenda deep sana kwa sababu asije haribu uchunguzi. Kwahio hapa suala ni FWEZA tu.
 
Sasa post za rafiki umeleta Ili nn
 
Syo kwa mwandiko huo....chai na chapati...Acha inyeshe kwanza mikoa 11...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…