Loose ends Kifo cha Martha Towo

Kabisa mkuu. Nilichofurahi ni kwamba simu za marehemu Martha zote aoiziacha kwenye handbag ndiyo akatoka nje ya kanisani. Hivyo ziko safe kwa ajili ya KAZI. Pili wauaji waliacha kwenye tukio vifaa vyote walivyotumia ikiwemo vichupa vya inayoaminika sumu, viatu vya marehemu na vitu vingine kadhaa. Hivi vyote ni mpango wa Mungu ili kuwakamatisha. Yaani upelekezi wamerahisishiwq mno. Maana register au niite barcode ya hizo sumu zitasoma na zitaanza tracing pia kuanzia kiwanda, manunuzi WA Kwanza mpaka wa mwisho. Washenzi hao Ngoja kinukishwe Mazima.
 
Tuombe wasiwe wapelelezi wa kesi ya Lisu tu maana bado wanasubili ushahidi wa Lisu na dereva wake, Sasa huyu amekufa ushahidi wataupata wapi?😎😎
 
Wauaji wazoefu huwa wanafanya makosa ya makusudi pia ili kuharibu kesi anaweza kudondosha kitambulisho kisicho chake eneo la tukio, na mbinu zingine nyingi ambazo haipendezi kuzitaja lakini
Tunarudi palepale kwenye mauaji kazi siyo kumtuhumu mtu kazi ni kumuunganisha Mtuhumiwa na ushahidi usio na shaka.
 
Watasema kuwa wanaonewa wivu Mana wamesoma na hela wanazo mkuu.
Ila hata ukiongea na mchaga anakuambia kuwa roho yao iko tofauti na watanzania wote. Si unajua wao Ni waisrael weusi
 
Hii imetengenezwa kutuaminisha visivyo. Sibiri ukweli ujitokeze.
 
Yaani sura sioi imekaa kijambazi fulani labda nimtafune na inaonekana Ni hela tu inataka. Iende USA , Sydney,Paris otherwise itajioa
 
People are fighting to get money,sex and power and nothing else hapa duniani mkuu. Unaweza ukaleta hoja. Ila hizo ndizo watu wanauana Basi Mambo mengine
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Forensic pia itatumika kujua mdondoshaji wa hivyo vitu. Siku hizi hata ukiva gloves kama siyo special kwa forensic inakusoma. Mpaka viatu siku hizi inasoma!!!!!! Niishie hapo. Master mind apapatikana tu na chain nzima. Kama TanPol wako serious. Ila najua piga ua lazima familia ihakikishe upelekezi wa Uhakika unafanyika. Watagharamia nakuhakikishia. Na Viongozi wakubwa tu kwenye unit watahusika kupeleleza hili jambo.
 
Said Said Athumani castmmakea wa tra yeye na Genge lake ndio wanahusika na mauaji ya huyu Bint ambae Biashara yake kubwa Said nikaitengeneza Not Bandia
dada alikuwa anafanya kazi BOA,nasikia alikuwa ni Afisa mikopo shinyanga wakamtaka aache kazi in 24 hrs akakubali,akaja kwa wazazi wake Kibaha kwa mbonde,siku ya ijumaa iliyopita jioni alikuwa kanisani kkkt Tumbi
akapigiwa simu au akatumiwa msg na mtu kwamba anamzigo wake amwelekeze alipo amletee ndo akamwelekeza walipofika akamwachia mama yake simu akatoka kumfuata ndo akatekwa akapelekwa mpaka msitu wa mbande Kama sikosei wakamchoma sindano na wakamchoma Moto wakamwacha ndo akajitahidi kukimbia mpaka kwa mama mmoja ndo wakamsaidia akataja no za baba yake,alikimbizwa Tumbi Kisha mloganzila mwisho akapelekwa muhimbili akakaa ICU mpaka alipofariki jtano, watu wakaaga mwili wake.
Kifo cha namna hii kinapaswa kiliume taifa toka juzi wauaji hawakamatwi,na no zao za cm zipo walizompigia na kumuita atoke nje, na Baadae kumteka hii inafanyika kutokana na nguvu za fedha alizonazo Said wa tra na Samia hataki kumuondoa huyu mtu licha ya tuhuma hadi za kuteka watoto nakuwatoa kafara zikimuandamana mtu huyu

nimeitoa kwa kigogo kigogo wa facebook , huyo jamaa SS Athumani wanadai anafanya kazi TRA ndio genge lao lenye hio ishu ya Martha.
 
Kwa hii hapa inawezekana ilikuwa watoe pesa Halali bank halafu waingize fedha haramu same amount. Na niwaambie branches lazima pia zina signatories na huenda Martha alikuwa mmoja wao na alikataa kupitisha hiyo bank transfer. Hivyo kwenye maofisa signatories wanatoka kwenye branch Management. Hatujui mengi ila Kigogo ni hatari Sana huwa mara nyingi hakosei issues zake. Ngoja tusubiri.
 
Kwa hyo walipishana nae nn sijaona...
 
nimeitoa kwa kigogo kigogo wa facebook , huyo jamaa SS Athumani wanadai anafanya kazi TRA ndio genge lao lenye hio ishu ya Martha.[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…