Loose ends Kifo cha Martha Towo

Kwa hiyo brother, wewe na shetani mmezaliwa tumbo moja au ?

Sent from my Nokia 1.4 using JamiiForums mobile app
 
Nakuongezea na moja!

Hata IMEI za simh hua zinapigwa nyundo! Wanabadili IMEI kama ni kwenye 5, wanaweka nane!

Line ya simu anasajiri kwa jina la mtu mwingine kabisa, vijana wenye njaa, ukimpa 50,000 ukamwambia sina namba za NIDA naomba nisajirie kwa jina lako anakubali, kumbe anaenda kusaidia mharifu!

Wahalifu wengi huchora tukio hata zaidi ya mwaka!

Mawasiliano yao ni Whatsapp na Telegram tu! No video call, no voice call no sms charts!

Anaweza zima simu siku mbili,na akizimia simu Dar anakuja washa akiwa Dodoma!



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Mawasiliano yao ni Whatsapp na Telegram tu! No video call, no voice call no sms charts!.....


Kwenye WhatsApp wanatumia njia ipi??
 
Kiongozi naona wewe ndo Mchunguzi umeleta humu ili watu wafunguke upate pa kuanzia

Kweli wewe ni GT
 
Yetu macho Mark my word's
 
Una HOJA usikilizwe
 
umeongea ukweli mtupu mkuu. Na hii tabia imewagharimu wadada wengi wa kichaga.
alikuwa mpambanaji has a lot to do na tabia zake. Wanawake wengi wapambanaji wana ile aptitude ya "Getting it regardless" na "Wacha iwe mbaya tu"





Ana hoa asikilizwe
 
Wewe ni Bush lawyer?
 
Thus makes sense hapa jamaa walikua wanajua wenzie wanaenda wakatumia nafasi hyo hyo..

Sio rahisi wafanyakazi wakawa wazembe hvo
 
Elon Musk akiwa twiter.
Hahahahaha we jamaa mfuatiliaji
Hahahaha





Sema jamaa boya zalisha oa ndio uhangaike na kusomesha
 
Ushamba Amna cheque ya billion 1 acha ushamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…