Loan officer anaverify client documents kama ziko correct, na kufight upate mkopo kama umemuahidi kumtoa, so kwenye mambo ya mihela yuko limited kinoma!Hawezi katu,hii kesi kama sio ya mapenzi sijui ila loan officer ana limited access na system ya bank
Hilo ndyo jibu la swali lakoIt depends.. who to whom by who..for who..
Issues za siasa ase unaeza piga simu polisi ya kuita mwizi matokeo yake wewe ndyo ukakamatwa tenaMbona Ben alitoa namba zao kabisa lakini hawajawahi patikana..
It depends.. who to whom by who..for who..
DuhNimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.
Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.
Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Good.. u got it.Issues za siasa ase unaeza piga simu polisi ya kuita mwizi matokeo yake wewe ndyo ukakamatwa tena
Au hospital walimfanyia morphine marehemu kurelieve the pain?Sahihi ila kama umesoma taarifa wanasema walimdunga kwanza sindano ya sumu badae kuhakikisha wanapoteza ushahidi wakamwasha moto na hii ndo ilomfanya ajitetee kwa kukimbia
Inasemekana majeraha ya moto hayakua makubwa
Una suspect morphine overdose sio?Au hospital walimfanyia morphine marehemu kurelieve the pain?
Ndio mkuuUna suspect morphine overdose sio?
Tusubiri mamlaka zichunguzeNdio mkuu
Cheque ya 1bn inaandikwa na meneja na hiyo cash kutoka mpka makao makuu wanakua wanajua..kwa afisa mikopo wa branch ndogo kama kahama sidhani kufanyika hiloNimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.
Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.
Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Haya King Kong III pitia na hapaNimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza.
Akawa anamsumbua, akaomba ruhusu kwenda kwao Kibaha. Inasemekana, boss wake akampigia Baba mzazi wa Martha, akamwambia amwambie mtoto wake, aache kazi ndani ya masaa 24.
Katika yote hayo yaliyokuwa yanaendelea, Martha alikuwa akiwasiliana na Baba yake na mchumba wake.
Wakasema siku ya tukio, alipigiwa simu na wafanyakazi wenzake, wa Shinyanga. Kuwa wanasafiri watapitia hapo Kibaha, wamsalimu mara moja. Alipotoka hakurudi tena.
Inavyosemakana boss anashikiliwa.
*Nimesoma sehemu tu, nikaileta kama ilivyo.
Haya King Kong III pitia na hapa
Afisa mikopo hawezi kusign cheque lazima iende kwa meneja wa tawiNina swali dogo tu,hivi inaingia akilini kweli Ofisa mikopo aambiwe kusign cheque ya 1 bn? Ni Bank ipi kwa sasa inaruhusu miamala ya zaidi ya 10M kwa cheque? Au alileyeleta hii scenario alimaananisha Ofisa Mikopo huyu (Marehemu) alilazimishwa ku endorse transfer ya 1bn.
Watu wa Bank wanaweza kutusaidia hapa,mipaka ya kazi za ofisa wa Mikopo inaruhusu mpaka maswala ya kusign cheque/ endorse transfer au yeye anaishia tu kwa Paper works za process nzima ya mikopo?
Jamaaa huyuMkuu kwani wewe ni muhusika au why una comment hivi[emoji15]
Tunu wazazi wake wanaishi arusha na mzigo umejaa kitambo...sema ni ukoo mmoja na tunuDada yake marehemu pia aliwahi kufanya kazi bank alipiga dili la mamilioni kidogo afungwe nadhani anaitea tunu kavishe,hao wadada ni wapenda hela sana asikudanganye mtu
Mimi wasiwasi wangu, huenda hata hawakuwa kweli wafanyakazi wenzake. Ni hiyo miuaji ikajifanya ni wao. Labda wanajua majina ama wamepewa. Siku ya kufa aah asingetoka Kanisani, mpaka mwisho aondoke na familia.