Papaaa mukuubwaaa
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,091
- 2,703
mission impossible mpya imetoka?Hio elf 10 nyingi hata elf 5 unapata kwa wasajili njaa hawa.
Hayo mambo ya laini sio kwa ishu za kitaifa,hizo tumia kwa ile pesa tuma kwa namba hii, kupokelea rushwa,kutongozea wake za watu
Mission possible kaa mkaomission impossible mpya imetoka?
[emoji2][emoji2].....bado utakamatwa kirahisi sana.....Simu ukiwasha ukaweka line tayari inaanza kusoma mnara wa sehemu uliopo....Tena Kwa case yako kukamatika itakuwa simple sana sababu cycle yako ni fupi sana,wewe na aliye kusajilia line.Unaweza usikamatwe.
Twende na scenario hii, unaenda Sumbawanga kama mtembezi huru tu. Ukiwa huko unajenga urafiki na bodaboda au muhudumu wa guest. (Hapa unahakikisha unafikia guest house zile za cheap kabisa na ambazo hazina CCTV). Unahakikisha ukiwa huko na huyo boda au muhudumu wa guest unaepuka kutembelea maeneo yeyote yenye CCTV kama Banks au Bar kubwa kubwa.
Kwa siku tatu au nne ukiwa unampa na viofa ofa vya nyama na pombe na vitip vya pesa tayari utakuwa umejenga uaminifu nae. After that unaigiza umepotelewa na simu, unampa huyo boda 100k unamwambia akakununulie simu ya kawaida tu ya elfu 50 na aende tigo/airtel akasajili line chenji inayobaki yake. Akileta simu na line unahakikisha hiyo simu hausave wala kufanya mawasiliano na yeyote na mtu yeyote zaidi ya target yako pekee. Vocha unaweka za kukwangua tena ikiwezekana unanunua hukohuko kigomo vocha za kutosha then baada ya hapo unakuja Kibaha kupiga kazi.
Je ni rahisi kuweza kukutrace hapo??
Mwanzoni walijua wameshammaliza baada ya kumdunga sindano ya sumu kumbe ni ya kichina, ule moto ulikuwa kanyaboya ama ateketee aishe abaki jivu asionekane mileleIla tuongee yote huyu dada amekufa kifo kibaya sana...
Hata kama na yeye alikuwa na matendo ya mafia hakustahili hata kidogo
We mtoto wa juzi tuuuu unajua Unsolved case? Ziko ngapi dunianiNakueleza wewe ni mpumbavu tu huna lolote, clear mission kama hiyo ikose majibu? Dogo una ujinga mwingi. Two weeks ahead uje hapa hapa kwenye hii thread
Uchawi hauna mjuzi wala mshindi,ukiwa gwiji yupo gwiji zaidi yako,ukijua hili wengine wanaenda direct kwa lusifer mwenyewe utaponea wapi.Sahau watu WACHAWI mzeee
Unajua Kuna watu wameloga Hadi nguvu za Mungu wa Abraham isaka na yakobo?
Au humjui farao ni nani
Haijawahi na haitawahi kutokea. Unajua kwamba Mungu anaweza kuruhusu dhamira ya binadamu kwa binadamu mwenzake hata kama dhamira hiyo ni mbaya ili ajifunze kutokana na makosa aliyoyafanya?Unajua Kuna watu wananguvu ya kumzuia Mungu? Wako hapa duniani?
Itakuwa aseeMwanzoni walijua wameshammaliza baada ya kumdunga sindano ya sumu kumbe ni ya kichina, ule moto ulikuwa kanyaboya ama ateketee aishe abaki jivu asionekane milele
Hapa kuna clue ya ziada hasa kwenye sindano na hayo mafuta.. Inawezekana kabisa wauaji hawakutaka afe
1. Kwa kumdunga sidhano ya dozi ndogo
2. Kwa kummwagia mafuta kidogo kuwasha moto na kumwachia akimbie
Isingewezekana hata siku moja wauaji wako wakuchome moto halafu wakuache ukimbilie kwenye msaada.. Hawa hata wenyewe walihujumiana.. Muda utasema!
Google unsolved case[emoji2][emoji2].....bado utakamatwa kirahisi sana.....Simu ukiwasha ukaweka line tayari inaanza kusoma mnara wa sehemu uliopo....Tena Kwa case yako kukamatika itakuwa simple sana sababu cycle yako ni fupi sana,wewe na aliye kusajilia line.
Mradi tu huyo mtu aliyekusajilia line ana akili timamu,kumbukumbu nzuri tayar atalisaidia jeshi la polisi wewe kupatikana.
Kwa Dunia ya sasa kwenye crime yoyote unayotaka fanya usitumie nyenzo yoyote ya mawasiliano inayohusiana na teknolojia.
OGOPA MUNGU NA TEKNOLOJIA.
Savimbi na Al Baghdad walikuwa vibaraka wa marekani,albaghdad alishapiga picha na Biden ikulu ya marekani Biden akiwa vp,savimbi waliamua kumuuza kwa kuwa serikali ya Angola ahaikua shida Tena kwa maslahi ya marekani,Osama..ikiwa yale maelezo Yao ni kweli basi simu ya Al Kuwait ndiyo iliyozua msalaPana watu Wana high sense ya imagination ya tukio zima wanakuchorea na kukuonyesha muhusika wa tukio zima. Magreat see au waonaji wanao uwezo wa kumtambua muhusika wa tukio lolote.
Sio rahisi kumnasa Osama, albagdad kiongozi wa ISIS, Savimbi, nk wanatumia njia hii then unatumiwa drone yenye rocket unazikwa hai.
We mtoto wa juzi tuuuu unajua Unsolved case? Ziko ngapi duniani
Kamsome Farao kwenye Biblia na Kuna mwingine alipigana na Mungu akamtengua mguuuuHaijawahi na haitawahi kutokea. Unajua kwamba Mungu anaweza kuruhusu dhamira ya binadamu kwa binadamu mwenzake hata kama dhamira hiyo ni mbaya ili ajifunze kutokana na makosa aliyoyafanya?
Apumzike kwa amani binti mrembo Martha [emoji120]Kashalala Martha..View attachment 2549155
Shida kawaachia wengine wenye pumzi badoKashalala Martha..View attachment 2549155
Hahahahahaha we jamaa bwana.. Saw mkuu we ni mtanzania pekee unayemjua Kigogokigogo alishawahi daka hata clues
Jeshi
Usalama
Polisi
Uhamiaji wote weupe
Na Kwa taarifa zako nilishawahi kunywa pombe na mtu na nikaona Nikati ya kigogo maana alilewa akashika simu vibaya
Ila huwezi amini ni kati ya watu Serikali iliwapa mafunzo nnje na mpaka Leo yupo
Mkuu mrangi hii kesi naona ni rahisi sana kutatua, sema polisi wetu siyo weledi. Ilitakiwa sasa hivi wawe wameshapata watuhumiwa kwani mazingira aliyochukuliwa na kuuawa ni lazima waliacha ''nyayo'' kila mahali. Kwa mfano wakichunguza mawasiliano yake na simu zilizozokuwa maeneo waliyozunguka wanaweza kuja na kitu. 1. Mapenzi (alimkacha mwanaume au alichukuwa mwanaume wa msichana mwingine. 2. Dhuluma kwenye kupiga ma-dealKuanzia tar 3 mpaka 9,lazima marehemu kuna mambo atakuwa
Ameyazungumza...
Ova