IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,166
- 2,780
Una HOJA usikilizweUnataka wabadili magari rangi, waweke namba za magari chasis au wabandike namba za IT halafu amiminiwe risasi then mbele zinaweka namba og na kupuliziwa rangi kwa spray mpya kabisa kupoteza ushahidi kama south, huku wakiwa na dark mask, ili ushahidi upotee milele au unatakaje?
Eee roho yake inatuliaYaki ya MAREHEMU
Hapana sio hivyo na anaweza kujua lakini sio kazi yake kusema! Anaishi kwenye miiko na masharti
Kaseema kuna miiko 🫣Nasubiri jibu lake
Mzee wake alisema hao ni proffesional killers means watakuwa wanafanya kila kitu kutoacha alama na ndiyo maana hata kanisani hawakuonekana japo kulikuwa na CCTV ,aliyeeonekana ni Martha tu ,kwahiyo walijua kabisa kanisani kuna CCTV hivyo walikaa nje...
Ww kumbe nawe mshamba sasa Kwa taarifa zako sio Tz hiii.Macho yana lenzi ambayo hubaki na baadhi ya matukio ya mwisho, ndio maana kwenye mauaji baadhi macho hutobolewa ili kutoruhusu alama yoyote kuchukuliwa labda hauna ufahamu wa haya mambo au umefanya makusudi
Hapana sio utaratibu wao huo ni wa wapiga ramli labda.. Mganga sio mtu wa kutoka kilingeni na kwenda kuangalia matukio ni mtu wa kusubiri aletewe matatizoIlitakiwa wasaidie kwenye matukio kama haya wangeongeza watu kuwaamin zaidi,wangeajiriwa na police ili kusaidia mambo kama haya
Hapana sio utaratibu wao huo ni wa wapiga ramli labda.. Mganga sio mtu wa kutoka kilingeni na kwenda kuangalia matukio ni mtu wa kusubiri aletewe matatizo
Kiasi gani acha ushamba mshana kazi imemalizika wanakunywa Hennessy na Kwa Taarifa zako ni professional na wanaua Kwa kulipa sio kwabTz hii nasemaje hawatakamatwa milele hata waje FBIWasingeacha silly traceable loose ends nyingi kiasi kile
Umri woteWe jamaa unaumri gani?
Akili yako inafikiro hivyo Amna loose yeyote watu wanakula maisha baada ya mauaji hayoTaking about facts of loose ends
Mzee Ushakutana na Professional Killers Tanzania hiii polisi hawatoboi
Hao wanaodakwa je, sembuse tukio lenye trace za kutosha kama hiliWatu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.
Sahau Kwa Tanzania hiii
Wakati naendelea kusoma comments,...Ili niifikia mwisho nami nichangie...Nimesoma mahala, hii wanasema Boss wake alimwambia aandike cheque ya 1B.
Halafu aseme ilikosewa, ili hizo hela zisionekane bank. Inaonekana martha hakutaka kulitekeleza...
Siku hizi watu hawapigi tena simu za kawaida kama wanaplot jambo lao, iwe rushwa, kuiba au kuua. Wanatumia WhatsApp Call na huko kupata sauti sijui mpaka uende huko LA, CA labda.Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia.
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu...
Jipe moyo mnauproffesional gani SAsa labda wa kudanganywa na waganga.Watu wanapiga na hawakamatwi wejamaa ni mshambamshamba
Huna HOJA Mimi Huwa nakaataa msemo wa malipo ni hapa hapa duniani uwongo mtupuHata kama wataishi miaka 10,000 bado siku zao zimehesabiwa watarudi mavumbini
Fisadi nimekumiss 🫣Sikuhizi watu hawapigi tena simu za kawaida kama wanaplot jambo lao, iwe rushwa, kuiba au kuua. Wanatumia WhatsApp Call na huko kupata sauti sijui mpaka uende huko LA, CA labda...