IIT MWASISI OS
JF-Expert Member
- Jan 26, 2023
- 3,226
- 2,836
Sahau Kwa Tanzania hiiiSasa last image si itakuwa ma Dr wa hospital? Ndiyo maana nikauliza wanatumia technolojia gani ku retrieve data za kwenye macho? let say wanavuta image labda za week moja nyuma kutoka kwenye retina.
Kahama sio mchezo kudadekiSEHEMU KULIKO NA MACHIMBO NA TABIA ZAKE.
View attachment 2548572View attachment 2548573View attachment 2548574View attachment 2548575View attachment 2548576
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.Kiintelenjensia.
Hakuna muhalifu yeyeto Smart ni lazima ataacha tu alama pa kuanzia.
Watu wakiingia mitamboni mbona sekunde tu wauaji udakwa chapu.
Hapo pa kuanzia ni sehemu mbili tu ishu ya mapenzi au kazini. Tap call zake zote kuanzia siku ya tukio rudi nyuma hata miezi 3 ukizisikiliza zitakupa starting point na lazima utampata tu muuaji.
Ipo hivi
Kabla ya mauaji huwa ni lazima mawasiliano ya simu uwepo yakiwa na nia ya urafiki na sio hitimisho la mauaji, mauaji huja baada ya kushindwa kufikiana kwa muafaka.
Kosa kubwa la wauaji ushindwa kutambua back walitumia simu kuongea.
KWA hili unaweza tumia
1.Technologia ya mawasiliano kupitia call recording
2.White magic pia ukupa picha ya tukio zima.
Ukimsikiliza baba yake anaongea codes ni kama kuna kitu anakihisia ambacho kina uelekeo wa ukweli sababu alikuwa karibu na binti yake kuna mambo alishea nae thus hakutaka kufunguka sana.
Kifupi hakuna muhalifu smart popote duniani hata awe na akili au ujanja vipi ni lazima ataacha shaka.
Technology na white magic haziongopi. Labda tu wahanga waamue tu kumuachia Mungu , KARMA
time of death of the person but not the killerOne of the major changes that occur in the body after death is corneal clouding which starts approximately after 2 hours from death
Also after death, blood cells in the body breaks down and releases potassium at a slower and more predictable rate, is also unaffected by temperature in the eye.(2) Thus, examining the potassium level in the vitreous humour can also help to calculate an approximate time of death of the person but not the killer refer to corneal clouding I spoke off
Tears also can be used to identify a person especially kwenye DNA profiling
yeye alikua afisa mikopo tu muidhinishaji wa pesa ni muhasibu mkuu,Naamini matokeo baada ya deep investigation, hizo rumors hua ni kawaida kwenye matukio yoyote, kwanza kama unavosema alitakiwa kusain hundi ya 1B ndio lakini yeye alikua afisa mikopo tu muidhinishaji wa pesa ni muhasibu mkuu, na bado alikua hajasaini hivo bado hayo ni maneno tu, tuvipe nafasi vyombo vya uchunguzi vitaweza kueleza ukweli wote, japo kwenye kufetch information even rumor inasaidia kwa kuplay kama primary source of information
Mijamaa ziro kabisa yan haijui madhara ya simu ha ha ha had dakika hii watu washanza kubinywa pumbu huko....Huyo aliyepiga simu ya mwisho kumwambia atoke nje ya kanisa ndo amechomesha.. katika ulimwengu wa sasa hakuna kitu rahisi kumshikisha mtu kama simu. Professional wangempiga bomba tu wapite hivi..
Kuna kupunguza presha amini usi amini Kuna watu wasinge uwawa Duniani tisingekuwa hapaMtu mpumbavu ndie anaua mtu hali nae ni marehemu mtarajiwa
Kina nani wamekamatwaHawa wanaonunua simu mpya kariakoo, wanasajili na line mpya za voda wanajua hawatofahamika! Wanasahau kuna operation ya simu feki ilipita nchi nzima, wanasahau kwenda congo au msumbiji kununua simu ambazo imei zake haziwezi kua traced halafu waende congo au Rwanda kusajili line za tigo au airtel ili mawasiliano kwanza kutafutwa mtu asumbuke, wahalifu wa nchi maskini huacha alama kizembe sana ndio maana hukamatwa kama kuku
Hapo kchambua nini zaidi ya kujiuliza tu maswali ambayo hayana mantiki mwa sasa kwa kuwa Uchunguzi bado unaendelea
Hicho ndio kizazi Cha nyoka alicho kikemea Yesu hao watu wa kizazi Cha Kaini wapo omba Mungu wasibishe kwenye mlango wa familia yako.Kuna watu pia wanafundishwa kua duniani hakuna haki, huruma wala aibu, unasemaje hapo?
Issue za kihalifu polisi hutumia simu..Wahalifu wa Tanzania ni mbumbumbu, kabisa lazima wadakwe kiwepesi tu
ukiwa bongo unaweza kudivert kwa njia nyingi, ningeweza kukufafanulia jambo juu ya hilo lakini ngoja niache kwanzaUkiwa Sudan khatoum na Rwanda kudivert call hauwezi kabisa, ukiwa bongo unaweza kudivert kwa njia nyingi, ningeweza kukufafanulia jambo juu ya hilo lakini ngoja niache kwanza
Watu wanapiga na hawakamatwi wejamaa ni mshambamshambaStill utadakwa tu labda ufanye hivi vi ishu mbuzi mfano tuma KWA namba hii. Ufanye ishu ya kitaifa utadakwa tu.
Hakuna muhalifu smart ndugu ni lazima aache tu trace. Hasa kwa uhalifu kama huu wa kushirikisha wengi.
Achana NAYE mshamba tuuu jamaaCalm down, well planned crime bongo hadakwi hiyo sahau, labda hao wanaoanzia kwa waganga
We jamaa unaumri gani?Hii hata Mashirika makubwa mfano CIA,Mossad,KGB, scotland yard wanatumia kwenye level za juu za mafunzo yao.
CIA waliitumia kumnasa alipo Osama.