Londonistan haiepukiki

Ninakwambia njia ya pekee ya kuingia mbinguni ni "YESU KRISTO" dini yoyote haiwezi kukupeleka mbinguni au kuona pepo.
Imeandikwa "Wafilipi 2:10
ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi;
Wafilipi 2:11
na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba. "

Na ninakwambia mtu yoyote yule aliyekufa bila kuokoka au kumpokea na kumkiri "YESU NI BWANA" huyo yupo kuzimu hata kama kwenye jamii alionekana mtakatifu.

Yohana 14:6
Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

USIJE UKASEMA HUKUAMBIWA, HII COMMENT ITASIMAMA NA WEWE HUKUMUNI
 

Ayatolah anaulilia Umea wa London?! Au anayalilia Magaidi yake yaliyoteketezwa?! Au anazifikiria Bunker Busters
 
Hongera zao ila sio jambo la ajabu sana ni vile waislam nanyi mshakua watu wa propaganda hata zisizo na maana kama watu wa magharibi

Na ubaya hizi propaganda ndizo zinahubiriwa misikitini na kwenye mihadhara. Juzijuzi hapa umeleta uzi wa Cristiano Ronaldo kuslim, picha zenyewe ni za AI, hizo propaganda zinakuzwa kumbe ni uongo mtupu.

Dini ikikua wala hutahitaji jf, itajisemea tu yenyewe, mabadiliko hayajifichi.
 
Waache wawafuge waanze kulipua na kujitoa mhanga,watu wafe

Watajuta
 

Wavamizi wa Kiarabu wakivamia Spain kwamba wametumwa na Allah sasa hivi hawatumii upanga na Majambiya tena bali wanatumia njia ya Uhamiaji haramu.

Wakati huo huo nyingi ya Nchi zao haziruhusu Uhamiaji haramu wala kuruhusu Watu wa Dini nyingine kujenga Nyumba za Ibada.
 
Tatizo ni kwamba ongezeko linatokana na uhamiaji kutoka Uarabuni na kuzaliana na sio raia asili wa Uingereza kubadilisha dini,
Hii itazua matatizo makubwa mbeleni.
Vumilieni tu uislam ndio unasambaa hivyo
 
JUzi hapa kulitokea xenophobic attack kwa raia wahamiani hasa waislamu , but serikali ikaww upande wa wahamiaji na bii trend nadhani ni imetapakaa nchi nyingi sana za ulaya Alhamdulillah, yaliyotabiriwa yanatimia ila nina furaha na majonzi pia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…