London Riots



Vandalised ... stores were broken in to by brutes




Blaze ... remains of torched car in Hackney


 

Hahahahaaaaa mami umedata wewe!! Fahamu kuwa narusha maoni haya kutokea hapa Ikungulyabashashi.

Hicho kitoto itabidi nikipe crash course ya matumizi ya anti-perspirant deodorant. Ukikiona next time kiambie kuna mami mmoja kutoka Ikungu anataka kuongea na wewe....
 
Conservative wana kazi hapa moto utalipuka kesho wakirudi ..... hawa watoto watukutu sana .... ...
 
Its all this very interesting!!

Uingereza ainaugua moto kirahisi tu ..and so faster ...from one city to next!

Ikiwa ni hapo Cairo, Lybia au Syria ... mengi yatasemwa lakini LONDON... just like that!! Kuna jambo la msingi Hapo uingereza inabidi liwe wazi na lieleweke ...ili Tanzania na majirani wajifunze cha kujifunza ... kuwa ghafla ..tu!! Kisichotegemewa kinaweza kutokea na kuwa kweli kabisa.

Wiki chahe tu zilizopita Waingereza walikuwa wanatizama show kama hizo zikitokea Libya nk ..leo?

Kwa kweli dunia yote kwa ujumla haijatulia!!
 
Hii kitu imefika hadi Clapham, WTF? Nimeona kwenye tv dogo mmoja yuko dukani anajaribu kukwapua plasma tv kutoka ukutani, wanadada wanakimbilia designer bags and whatnot. Hii inanifanya niamini hizi fujo siza kupinga mauaji ya local gangster bali kutaka kufanya fujo tu ili wasikike, kesho na keshokutwa business owners wakiamua kufungasha virago na kuondoka hawa hawa watu watalalamika kuwa hakuna kazi na kurudi kuilalamikia serikali.
 
Wapuuzi sana hao wahuni. Na wapeleke polisi huko wakawadunde kisawasawa. Huwezi kupinga police brutality kwa kufanya uhalifu. Hao wenye maduka kosa lao nini hadi wavunjiwe maduka yao na kuporwa bidhaa zao? Peleka riot police wakawapige bila huruma hao wavunjaji wa amani.
 
Waseme na huko cdm wamehasisha wananchi kufanya "riots"
 
BBC wanareport kuwa hii kitu imefika Liverpool na Manchester.
 
Waltham Abbey! is so far a biggest blaze! it seems to be like a depot belongs to Sainsbury!, Ealing, Bristol, Liverpool, and small groups been seen sniffing around Manchester. Wow! these kids are such a joke! flippin hell!
 
Hawa wapuuzi wamechoma distribution centre ya Sony mitaa ya Waltham Abbey, kesho watu 750 hawana kazi kweli hii ni akili?
 
Hiyo ni adha ya watoto waliozowea kupembejewa mpaka wakatovukwa adabu.

Serikali ya Uingereza inalea vibaya vijana na hii ndio ujira wake sasa.
 
Hao wahuni ni kuwapa kibano tu. Hiyo ndiyo lugha pekee watakayoilewa. You can't plead or reason with these thugs. Just a good 'ol fashioned beatdown is the only way that will get them to stop the mayhem.

They are lucky it's not up to me to make the call.
 
Ona sasa hii!! Wanayemkomoa ni nani hasa? Nyambaaaaf kabisa....na warudi huko makwao visiwani walipotoka na huko Afrika.
Alafu hawa wapuuzi wanavunja maduka wanakwenda kuiba mobile phones, TV kwenye hiyo Sony Distribution Centre kuna mtu anasema watu wanaiba Playstations, hivi kweli hiyo ni akili unahatarisha maisha yako na community nzima kisa playstation/cellphone?
 
Aisee, this is too low from them, i find them more opportunistic katika hili as far as what they are doing is concerned. Unles otherwiz kuna kitu lazima tujifunze ktk hili.

BTW ingekuwa ndo bongo inatokea hii ungesikia jamaa wana withdraw embassy stuffs wao ikifuatiwa na warning kibao kwa watalii kutembelea bongo....duh! kwel umaskin mbaya.
 

Ni kweli mkuu. Sijui NATO wako wapi. Gaddafi alisema atawapiga mpaka nyumbani kwao ni yeye nini, na ufaransa itaanza kuwa hivyo nini. Ni kweli mtenda hutendwa.
 
I might be wrong but i think, Far Right radicals are gaining support in most part of Europe.

In France, Jean-Marie Le Pen anaongoza kwenye polls. In Norway, y'all saw what that extremist did. Huko Uholanzi Geert Wilders anakuwa popular day by day. Greece radicals waliwaattack watu weusi na kuwapiga. The list goes on..

Uchumi unakufa, massive job cuts na Immigration policies pia ni tatizo.

These radicals tunawaona ni racists and hooligans, wao wanajiona nationalists.

Immigrants (Muslims and waafrika) brace yourself.
 

a Heckler & Koch MP5 carbine

 
Taratibu tu na huku kwetu itafika. Polisi kuchukua sheria mkononi na raia kulipiza kisasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…