VoiceOfReason, umenyakua maneno kinywani kwangu. Ni-PM tukutane tuongee mbele ya kikombe cha chai. Hii nchi sio kama watu wengi wanafikiri ilivyo ('ilishakuwa'/Has-Been)! Olympics 2012 zitakuwaje sijui - wahuni wanaweza kuwasha moto kwenye treni au kijiji cha michezo?!
Na hao wahamiaji waondoke warudi kwenye nchi zao walizotokea.
Wamezoea kusgua vyoo, huku kwao watu wanakunya porini watakosa kazi.
Safi sana waingereza uwa wanafiki sana,wanatabia ya kutengeneza mifumo kandamizi hiyo ni moja ya matokeo ya mifumo yao kandamiza.Mifumo yetu mara nyingi tunakopi na kupaste mifumo yao
Wanatuabisha sisi weusi
Na hao wahamiaji waondoke warudi kwenye nchi zao walizotokea.
Wamekuwa Waingereza sasa sio wahamiaji tena kutokana na sheria zilizopo.
Haijalishi....bado ni wahamiaji tu. Warudi huko walikotoka wakapachome moto na kwenyewe. Kazi kuharibu vya wengine tu. Nyambaaaaf kabisa. Piga risasi za makalio wote hao.
Asilimia kubwa ni vijana wadogo,hawajui ni kiasi gani wanajiaribia maisha yao ya mbeleni kwa ajili ya vitu kama trainer,mobile phone n.k. Baadhi yao watakamatwa na majina yao yatakuwa kwenye CRB itakuwa ngumu sana kupata kazi ya maana hata kama umesoma kiasi gani.Demokrasia hairuhusu hayo kama ulifuatilia hii issue kulikuwa na maandamano baada ya yule kijana kupigwa risasi na polisi .... .... kuna tume huru kwa kiswahili au wenzetu wanaita police complaints commisssion inafanya uchunguzi. Sasa vijana walitumia huo mwanya baada ya maandamano kuanza kuchoma na kuiba nk nk . UK wanaruhusu kila aina ya maandamano ingekuwa Tanzania si mliona Arusha nini kilitokea ..................... Freedom of speech na demokrasia ya ukweli ipo UK. Hawa wote wakorofi watasombwa moja baada ya mwingine kwa sababu almost the whole of London ipo under surveillance.
Nakupa guarantee wote wakorofi watakiona cha mtema kuni pamoja na wale waliokuwa wanakwapua kwenye maduka. Polisi wanafahamu kazi yao sio kama wale wakwetu wanaopiga watu mateke wakati wapo chini ya ulinzi.
Hii ni preamble labda kwa sababu mwakani ni Olympics nafikiri mkazo mkubwa umekuwa huko.
Juzi ilivyoanza waliita disturbance, leo wamekuja openly na kusema riots sijui kesho watasema nini?Mkuu hii issue inaonekana ni zaidi ya polisi kumpiga mtu risasi. Nasikia huwa inatokea kila Conservative wakiwa madarakani. They are forces behind this.
Labda ningeandika "Tunaendelea kujiabisha sisi weusi" Tuna endelea kuudhirishia ulimwengu tuna penda wizi, iwe ni kwenye kudai haki zetu tunaiba mfano wakati wa uchaguzi mkuu Kenya na hata kwenye maafa kama Haiti earthquake bado tunaiba.Weusi ndivyo tulivyo
Wanajiaibisha wenyewe.
Labda ningeandika "Tunaendelea kujiabisha sisi weusi" Tuna endelea kuudhirishia ulimwengu tuna penda wizi, iwe ni kwenye kudai haki zetu tunaiba mfano wakati wa uchaguzi mkuu Kenya na hata kwenye maafa kama Haiti earthquake bado tunaiba.Weusi ndivyo tulivyo
Na hao wahamiaji waondoke warudi kwenye nchi zao walizotokea.